Maendeleo yaingia Kigoma kwa kishindo, Hongera Serikali

Maendeleo yaingia Kigoma kwa kishindo, Hongera Serikali

Muache sasa zile "taaluma zenu za asili" zinazowafanya waalimu na wataalamu mbalimbali wageni wanaokuja kufanya kazi huko kujikuta wamelala nje pamoja na vibwenga kibao.
Hahaha hahaha
 
CCM O
19074892618_e2d55e54fd.jpg


View attachment 497656
View attachment 497657
Kigoma niliyokuwa naisikia Mimi ni tofauti na niliyoiona.Vijiji karibu vyote vimeunganishwa na barabara za kudumu,vina masoko ya kisasa,umeme wa REA unasambaa kila kona,masoko mengine yamewekewa umeme wa sola.

Baadhi ya vijiji ukifika utadhani unaingia mjini kutokana na umeme.Jamaa wanajenga nyumba za matofali ya kuchoma na bati kila sehemu.Yaani karibu wanafuta nyumba za nyasi.Barabara ya Kigoma - Uvinza- Tabora sasa ni ya lami(daraja la Kikwete kwenye mto Malagarasi ni muujiza).

Waha wanasafirisha ndizi kwenda Tabora kama kazi.Kigoma sasa imo kwenye big 6 katika kuzalisha zao la mahindi.Shule za sekondari za kata kila kona.Kigoma hawajawahi kuomba chakula cha msaada miaka mingi iliyopita kama siyo hapana kabisa.Aidha nimeshuhudia vipaji vikuu vya kuimba sijawahi kutegemea.

Vijamaa vina maumbo madogo lakini vinaimba balaa.Tatizo la hawa Jamaa ni ubishi,japokuwa ukiwasikiliza kwa makini wana hoja.Ukibishana na Muha Hata kama ni darasa la 4 jipange sawa sawa.Kama huamini hudhuria kwenye vikao vyao vya Baraza la .madiwani.

Kimsingi Kigoma nimeshuhudia maendeleo makubwa ambayo sikuyatarajia.Hongera serikali.Jitahidini kumalizia barabara ya Kigoma Nyakanazi.KIGOMA YA SASA YASONGA MBELE.
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE UPINZANI ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!
 
da bora sikuzaliwa kigoma hayo mambo madogo mkoani kwetu tulishayasahau
 
da bora sikuzaliwa kigoma hayo mambo madogo mkoani kwetu tulishayasahau


kumbuka hats Tanzania na Korea Kusini zilikuwa wakati mmoja lakini leo twaona tofauti yao kimaendeleo.

Mungu akupe maisha marefu ili uje kujua na kuona maendeleo ya KGM halafu upime na kwenu.
 
Kigoma inaamka walau hata kama bado kuna maeneo yana mapungufu ila ni vizuri tukawa waungwana, serikali imeanza kuwajari sahivi
 
Back
Top Bottom