Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

Bugando sii Hospital ya kanisa iweje nao washiriki ktk mgomo au mimi ndio sielewi?..
 
  • Thanks
Reactions: FJM
huree! Hureee! Lazima kieleweke. Nyöni hi hoi!!! Anacheza na taaluma za watu, anafikiri ataweza. Mgomo hoyeeee! Huyu Nkya ni wakuchapwa viboko kabisa. Daktari mzima ameshndwa kuwatetea wenzake. Au anataka wote tukimbilie kwny siasa za maji machafu kama yeye! Shame on her.
 
kasema mambo shwari tu pamoja na ocean road....hii serikali imetulazimisha tufikie maamuzi mazito.kesho hata wale wa emergency hatuwagusi tuone atasemaje
 
Kuna baadhi ya taaluma ni za kubembeleza na kusikiliza na sio kupuuzia....Kuendekeza siasa kila idara ni hatari
 
miungu watu tumeikuza yenyewe kwa kutodai haki zetu mpaka wanajiona superior.watanzania tuamke
 
Them Killers!
Critical Incidents ndiyo nini?...I DONT GET THE LOGIC here!
Hivi ugonjwa wowote usiposhughulikiwa si unakuwa critical?

Nadhani Ungesoma medicine ungeelewa....only emergecy or life threathening case.
 
Walijifanya kutotangaza kwa siku mbili, leo wenyewe wameifanya kuwa leading story! Na bado...! Aluta continua.
 
Yule Vasco Da Gama anaacha nchi kwenye hali kama hii!!!nawashangaa sana washauri wake sijui hata anakimbiliaga nini!!kwanza wachumi wanasema huu mkutano hauna tija kwa taifa!
 
kwenye mkanda wa habari wameonyesha hii ilikuwa ni mojawapo ya habari,lakini wakati wa kutangaza wameipotezea.uhuru wa habari uko wapi?au wametishwa na serikali?
 
Wananchi wenzetu (hasa masikini wa vijijini) ni wepesi kusahau! Wakishapata mgao wa "buku buku" na "khanga, kapelo na T-shirt" baas hawachagui "kuondoa uozo" bali "wanawaongezea muda Viongozi wasioeleweka, wabinafsi na wasioaminka!"
 
Back
Top Bottom