Maendeleo ya biashara via mkop. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maendeleo ya biashara via mkop.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Saad haroub, Apr 6, 2012.

 1. S

  Saad haroub New Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BY ECONOMIST SAAD.H.FEREJI. "Underceteriz peribus",watanzai tuamke na tubadilike kifikra,busara na maendeleo ya kudumu ya KIUCHUMI. tunaweza kuongeza mita ya kibiashara kama vile fedha,mitambo mbalimbali nk. Kwa kupitia mikopo kwenye mabenk kama vile ACCESS BANK,CRDB,NBC,STANBIC BANK N.K. Kwakufanya biashara kupitia mkopo sio swala la aibu but niswala la maendelo ktk UCHUMI.kikubwa zaid andaa business proposal,colateral securities, and specific account. All in all YESTERDAY WE WERE SWEEMING BUT NOW WE ARE GOING TO DIVE. Hakuna kinachishindika watanzania tuache UVIVU! Kwa maendeleo yutu na kukuza uchumi wetu.
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mkuu Saad nakubaliana na wewe 100%, biashara nyingi kubwa duniani zinaendeshwa kwa mikopo. Big companies in EU or USA and Far East biashara zao zinaendeshwa kwa mikopo ya mabenk na ndo bank zinavyopata faida si kucharge vitu vidogo vidogo km bank zetu Tanzania. Tatizo kubwa tulilonalo Tanzania ni kwamba bank zetu zinatoza riba kubwa sana alafu nyingi zinatoa very short term loan. Wanataka ulipe mkopo in 1 year or 2. Hii inafanya monthly payments kuwa kubwa sana ukizingatia na riba hiko juu. Hii sidhani kama inamsaidia mfanya biashara makini aweze kujipanga. Wataalam wanasema katika biashara first year unaweza kupata hasara, second year you breakeven, third year ndo unaanza kupata faida and this is proper business. Bank zetu Tanzania zinataka upate faida kubwa in first year of business na urudishe hela zao.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  saad haroub

  you are very right .... huu ndio muda muafaka lakini pia mabeni unaweza kuta unavyo vitu vyote hivyo lakini still beurocracy ikawa kubwa ... au ukapungukiwa na kimoja kama statements wakakukwamisha kwani katika biashara unakuwa unaanza kidogo ...hivyo wakiona statement yako haina cashflow kubwa wanakukwamisha
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mimi kitu kinacho nisikirisha ni maafisa mikopo kutaka mgawane huo mkopo uliochukua, na hii kitu nazan Top Managment wanafahamu lakini wameamua kukaa kimya tu,

  Hatuwezi tukawa na systeam za aina hii na tukapiga hatua,
   
Loading...