Maelfu ya wanamgambo wa Boko Haram wajisalimisha Nigeria

Hapa tunaongelea watu kujiua Kwa ajili ya mabikra kama Hao Boko Haram ndio mjadala...wewe unaleta story Za watu kushikana matiti Kwa Jina la Brian deacon....
inahusu Nini mjadala?
Unaweza kuonesha ushahidi wa hayo unayoyasema kwamba Boko Haram wanajiua kwa ajili ya mabikira? Una "reference" kama ninazokuwekea mimi.
Kibwetere alitia hadi watu kibiriti kwa ajili watu wakamuone "Brian Deacon". Kuna Mwamposa mzee wa mafuta. Kuna Mzee wa uno anafufua watu kwa jina la "Brian Deacon.
 
Reference Ni Quran Na hadith.
Hizo mambo zako Za Brian deacon zinahusiana Nini Na Huu mjadala wa Boko Haram?
 
Wao walikuwa wanampigania Allah ndio maana wameshindwa. Mungu yeye hapiganiwi maanake atakalo litendeke linatendeka mara moja.
 
Ningekuwa allah ningewanyima bikra zangu 72

Unaongea upumbavu kabisa mkuu,, chuki zako zitakutesa sana,,,kila cku waisilamu na uisilamu. Uisilamu unahusiana nini na hao boko wacofata mafundisho ya kiisilamu!!!! Kila kikundi lazima mukihusishe na uisilamu
 
Wao walikuwa wanampigania Allah ndio maana wameshindwa. Mungu yeye hapiganiwi maanake atakalo litendeke linatendeka mara moja.

Umejuwaje wanampigania Allah? Mbona hamusemi wako kimasilahi pale!!!! Wale wa msumbiji pia munasema ivyoivyo. Wewe na Citizen B kama co m2 mmoja ana2mia ID mbili namashaka.

Usomeni uislamu mupate kuujua.
 
Unaongea upumbavu kabisa mkuu,, chuki zako zitakutesa sana,,,kila cku waisilamu na uisilamu. Uisilamu unahusiana nini na hao boko wacofata mafundisho ya kiisilamu!!!! Kila kikundi lazima mukihusishe na uisilamu
Boko Haram wanafata Uislam...niambie wapi waliukiuka uislam au wamefanya kipi ambacho muhamad hakuwahi fanya
 
Umejuwaje wanampigania Allah? Mbona hamusemi wako kimasilahi pale!!!! Wale wa msumbiji pia munasema ivyoivyo. Wewe na Citizen B kama co m2 mmoja ana2mia ID mbili namashaka.

Usomeni uislamu mupate kuujua.
Wao wenyewe ndio wanasema wanampigania Allah, wanatamka kwa vinywa vyao.
 
Ndiomana nikasema usome uisilamu upate kujua mengi. Kuna njia zinaruhusu kuuwa na ambazo haziruhusu. Mfano Boko, isis, vikundi hivi viko nje ya mafundisho ya kiisilamu.
 
Back
Top Bottom