Kwahiyo Leo lowasa siyo fisadi tena au unataka kusema nini.
Dhamira ya mtu ndo umwongoza mtu ..tayari umeonesha msimamo wake na sie tumetambua msimamo wake hata kama atalazimishwa lakini tumeelewa ana msimamo fulani na leo anatafuta urais kwahiyo hawezi kuwa na makuu sana lakini akishaupata utasikia anakwambia urais wake si wa ubia ..tunachoweza kuchukua hapa ni kwamba kÃ-tika hari ya kawaida yeye binafsi ayuko tayari kushiriki na watu wenye kariba ya Chenge na hatashiriki nao kamwe
Nimeskia kuwa mh. Magufuli aligoma kumnadi chenge jukwaan kwenye kampeni bariadi ,hadi na chakula kilichoandaliwa nyumbani kwa chenge hakula sababu ni tuhuma za ufisadi unaomwandama chenge ila amekubali baada ya kulazimishwa na CCM kufanya hivyo kwa kuwa nilazima kutii kanuni na sheria za chama na hatimaye akakubali kulegeza msimamo. Kama taarifa hizi ni za kweli kulingana na mtoa taarifa humu JF swali langu ni je ataweza kweli kuubadili mfumo mbovu uliomuweka madarakani kama akishinda uchaguzi? Kama hapo tu kashindwa kuwa na msimamo, hili linanitia shaka sana
Magufuli HAJAWAHI kuwa hata KATIBU WA KIJIJI au KATA WA CCM....!!!
Magufuli si Lolote au chochote mbele ya CCM.... ni kama DEREVA wa BOSS tu...!!
Anapewa masharti na kufuata, atake asitake...!!!
TUNAMWOMBA MAGUFULI AMUUNGE MKONO LOWASSA tumalize kazi...!!!
CCM ni janga kuu, kama hadi leo hamjui mtaja juta mara elfu ya hivi sasa...!!
Lowassa, Ukawa ndio chaguo la Mungu
Kwahiyo Leo lowasa siyo fisadi tena au unataka kusema nini.
ufisadi wa Lowasa ni upi? chamsingi hatukitaki hicho chama ambacho kinatambua lowasa ni fisadi na bado hakimchukulii hatua. .kinatulalamikia sisi wananchi kuhusu ufisadi wa lowasa wakatI ndio wenye serekali na mamlaka stahiki ?
Leo Hamuoni Ufisadi Wa Lowassa Kwel?Miaka 7 Yote Mlivokuwa Mnamwita Fisadi Papa Mlikua Hamjui Ufisad Wake?
Umesikia, but huna uhakika. jamaa ana msimamo, na huwa hayumbishwi na kitu au mtu. ngoja aingie ikulu watu watashika adabu. mafisadi wezi na watendaji wa serikali wabovu na wazembe watakiona cha moto. Nyerere + Mkapa =Magufuli
Magufuri atawanyoosha aisee ngoja kwa sasa awe mpole aingie IKULU.
weka picha akionyesha anamnadi sio unaleta umbea umbeaalikuwa anajaribu kutengeneza liuongo likubwa kwa watanzania lakini hata hivyo kashindwa kwani kabla ya chakula alimnadi kwa kumshika mkono na kumtangaza kama ni mtu safi. Mtu makini haibiwi mwaka huu.
Dhamira ya mtu ndo umwongoza mtu ..tayari umeonesha msimamo wake na sie tumetambua msimamo wake hata kama atalazimishwa lakini tumeelewa ana msimamo fulani na leo anatafuta urais kwahiyo hawezi kuwa na makuu sana lakini akishaupata utasikia anakwambia urais wake si wa ubia ..tunachoweza kuchukua hapa ni kwamba kÃ-tika hari ya kawaida yeye binafsi ayuko tayari kushiriki na watu wenye kariba ya Chenge na hatashiriki nao kamwe
Hakuna aliye juu ya Chama! Na chama si mwenyekiti au kiongozi mmoja?Dhamira ya mtu ndo umwongoza mtu ..tayari umeonesha msimamo wake na sie tumetambua msimamo wake hata kama atalazimishwa lakini tumeelewa ana msimamo fulani na leo anatafuta urais kwahiyo hawezi kuwa na makuu sana lakini akishaupata utasikia anakwambia urais wake si wa ubia ..tunachoweza kuchukua hapa ni kwamba kÃ-tika hari ya kawaida yeye binafsi ayuko tayari kushiriki na watu wenye kariba ya Chenge na hatashiriki nao kamwe