Maelfu ya wanachama wa CHADEMA wampokea Dr. Magufuli na kujiunga na CCM

Sizani km mtu mwenye akili safi kbx,,mtu anayeielewa ccm km anaweza jiung hk hao ni wanachm wa ccm wanapewa kadi feki tu kwa ajili ya maigizo na propaganda za ccm tunazozijua
 
Jamani hali ni mbaya sana ccm...kwa mujibu wa kikao cha usalama ndani ya ccm kilichokaa jana kidogo kivunjike kutokana na watu kulaumiana na wengine kushikana mashati...baada ya ripot kutoka kuwa kwa miujibu wa takwimu uchaguzi ukifanyika leo lowassa lazima ashinde kwa asilimia 70 huku magufuli akiambulia 13...kikubwa kilichojadiliwa ni baadhi ya wanamipango kushindwa kutumia 150 billion zilizotengwa kuisambaratisha ukawa..huku kazi iliyokwisha fanyika kwa Lipumba..slaa..ray kagosi na aunt ezekiel zikilaumiwa kutumia zaidi ya bilion 20 bila kuzaa matunda yeyote..huku baadhi ya wajumbe wakishikana mashati kwa kutuhumiana kumuunga mkono lowassa chini chini..sasa mwisho ikaamuliwa hivi..katika hawa..MBOWE..MBATIA..MNYIKA..LISSU..MSIGWA..LEMA..BAREGU..PROF SAFARI.MZEE MAKIHIDI....mmoja ni lazima apatikane kwa gharama yoyote na aisaliti ukawa na kuhamia ccm kwa kishindo...ile timu ya kwanza iliyopewa kazi imeambiwa ikae pembeni..imechaguliwa timu mpya ikiongozwa na kinana na january makamba...na imepewa hadi tarehe 4/10 Iwe tayari imeshafanya kazi hiyo ya kuisambaratisha ukawa?? Na wakaja na mbinu mpya yaani PLAN A...NA PLAN B...NA PLAN C..ni kwamba endapo plan a itafeli basi itumike plan b ..ambayo ni kikwete na timu ya marais wote wastaafu kwenda kumuangukia lowassa arudi ccm na kuitekeleza ukawa..plan hii ikishindikana na lowasaa akikataa ni wamtume kikwete kwenda kuongea na lowasaa waweke makubaliano ya kwamba endapo atashinda urais kuwa akuna mambo ya kukamata mafisadi waliousika na wizi wa mali za umaa..na endapo plan zote hizo zikikataa watatumia plan ya mwisho ambayo ni General Dennis mwamunyange kuchukua nchi kwa kishindo....kwa hiyo timu imeanza rasmi kazi jana...tuweni makini jamani maana hizo 150 billion siyo mchezo...ukisikia kiongozi yeyote wa juu akiondoka ukawa na kufanya mambo ya hajabu ujue tayari...hali ni mbaya sana ndani ya ccm kiasi kwamba hata kikwete amuamini kinana anahisi pia anatumia na lowassa yaani sasa hivi ni kushikana mashati....wanajiuliza eti..endapo mikutano yetu ingekuwa aina Diamond..ali kiba..yamoto band..basi tungekuwa tumeshashindwa mapema maana hata mgombea wetu anaongea zaidi kama mpinzani na siyo mwana ccm...hotuba zote tulizomuandalia amekuwa akikataa kuzitumia huku akiibuka na hotuba zake za ajabu ambazoo zinakinzana na mwenyekiti wake kikwete....jamani makamanda kuweni makini pesa imetoka hiyo

Kkkkkkkkkk, unachekesha sana, you can be a very fiction Novel write, you now how to creat plots. Kijana Kama hiyo Siri kubwa hivyo wewe umeipata kitoto hivyo basi Tanzania hakuna wa maana.

Nadhani unatuonyesha how you can engage your brains to work overtime, keep trying
 
Duh!! Kumbe ndio maana ITV wametudanganya walikuwa wanatuonyesha kichwa tu magufuli akiongea na umati wa watu kutoka eneo lingine ambalo alijaza watu na hawakuonyesha watu wa mkutano huo kwa kuilinda CCM na aibu.
 
Ukawa hatutaki maigizo ya kurudisha kadi za chama pinzani,hiyo ni siasa ya kizamani ccm endeleeni nazo.
Ukawa tunasaka kura tuu
 
WAKO WAPI HAO WALIORUDISHA KADI? acheni ujinga.mimi nipo hapa meatu simiyu kwenye mkutano wa ccm nilikuwepo hilo sikuliona na wala halikutokea.
 
Jamani hali ni mbaya sana ccm...kwa mujibu wa kikao cha usalama ndani ya ccm kilichokaa jana kidogo kivunjike kutokana na watu kulaumiana na wengine kushikana mashati...baada ya ripot kutoka kuwa kwa miujibu wa takwimu uchaguzi ukifanyika leo lowassa lazima ashinde kwa asilimia 70 huku magufuli akiambulia 13...kikubwa kilichojadiliwa ni baadhi ya wanamipango kushindwa kutumia 150 billion zilizotengwa kuisambaratisha ukawa..huku kazi iliyokwisha fanyika kwa Lipumba..slaa..ray kagosi na aunt ezekiel zikilaumiwa kutumia zaidi ya bilion 20 bila kuzaa matunda yeyote..huku baadhi ya wajumbe wakishikana mashati kwa kutuhumiana kumuunga mkono lowassa chini chini..sasa mwisho ikaamuliwa hivi..katika hawa..MBOWE..MBATIA..MNYIKA..LISSU..MSIGWA..LEMA..BAREGU..PROF SAFARI.MZEE MAKIHIDI....mmoja ni lazima apatikane kwa gharama yoyote na aisaliti ukawa na kuhamia ccm kwa kishindo...ile timu ya kwanza iliyopewa kazi imeambiwa ikae pembeni..imechaguliwa timu mpya ikiongozwa na kinana na january makamba...na imepewa hadi tarehe 4/10 Iwe tayari imeshafanya kazi hiyo ya kuisambaratisha ukawa?? Na wakaja na mbinu mpya yaani PLAN A...NA PLAN B...NA PLAN C..ni kwamba endapo plan a itafeli basi itumike plan b ..ambayo ni kikwete na timu ya marais wote wastaafu kwenda kumuangukia lowassa arudi ccm na kuitekeleza ukawa..plan hii ikishindikana na lowasaa akikataa ni wamtume kikwete kwenda kuongea na lowasaa waweke makubaliano ya kwamba endapo atashinda urais kuwa akuna mambo ya kukamata mafisadi waliousika na wizi wa mali za umaa..na endapo plan zote hizo zikikataa watatumia plan ya mwisho ambayo ni General Dennis mwamunyange kuchukua nchi kwa kishindo....kwa hiyo timu imeanza rasmi kazi jana...tuweni makini jamani maana hizo 150 billion siyo mchezo...ukisikia kiongozi yeyote wa juu akiondoka ukawa na kufanya mambo ya hajabu ujue tayari...hali ni mbaya sana ndani ya ccm kiasi kwamba hata kikwete amuamini kinana anahisi pia anatumia na lowassa yaani sasa hivi ni kushikana mashati....wanajiuliza eti..endapo mikutano yetu ingekuwa aina Diamond..ali kiba..yamoto band..basi tungekuwa tumeshashindwa mapema maana hata mgombea wetu anaongea zaidi kama mpinzani na siyo mwana ccm...hotuba zote tulizomuandalia amekuwa akikataa kuzitumia huku akiibuka na hotuba zake za ajabu ambazoo zinakinzana na mwenyekiti wake kikwete....jamani makamanda kuweni makini pesa imetoka hiyo

Kaka chonde chonde kuna sheria za makosa ya kimitandao,kumwingiza Jenerali Mwamunyange kwenye porojo zenu kutakuletea matatizo bure,wenzako juzi wamepelekwa mahakamani walidhani hawatashikwa kwa kutumia mitandao kutapeli watu,hiyo ID isikundanganye utaenda nyea debe kwa ushabiki wako wa kipumbavu kwa kuleta habari zako za uchochezi.
 
6.jpg

Masikini Magufuli...!
Hebu tazameni mafuriko haya hapa chini...!
Hapo hakuna cha kanga, kofia wala tishet za njano na kijani.
UKAWA oyee...!!!

Na hii ni Singida tu, bado Shinyanga na Bariadi!

Unazungumzia hawa au.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    60.4 KB · Views: 257
Subiri mamvi Edo afike huko. Dakika 10 tu zinatosha watarudi
 
Robethn

Kwanini hamkitendei haki kitengo chenu cha propaganda??? Kwa njia hii mnazidi kukiumiza chama chenu kabla ya hukumu kuu October
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom