johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
Uingereza ina uhaba mkubwa wa madereva wa malori kwa sasa hali iliyopelekea kuwepo uhaba wa mafuta vituoni na jeshi la nchi hiyo linajaribu kuingilia kati kwa kutoa madereva.
Hivyo mtanzania yoyote mwenye fani hiyo mchongo ndio huo hauhitajiki kuwa na kadi ya chama.
Usijesema ajira hakuna, Uingereza ni rafiki wa Tanzania na CCM pia.
Hivyo mtanzania yoyote mwenye fani hiyo mchongo ndio huo hauhitajiki kuwa na kadi ya chama.
Usijesema ajira hakuna, Uingereza ni rafiki wa Tanzania na CCM pia.