Maelfu ya vijana wanahitajika kuendesha malori ya mafuta Uingereza

Uingereza ina uhaba mkubwa wa madereva wa malori kwa sasa hali iliyopelekea kuwepo uhaba wa mafuta vituoni na jeshi la nchi hiyo linajaribu kuingilia kati kwa kutoa madereva.

Hivyo mtanzania yoyote mwenye fani hiyo mchongo ndio huo hauhitajiki kuwa na kadi ya chama.

Usijesema ajira hakuna, Uingereza ni rafiki wa Tanzania na CCM pia.
Kama rafiki wa CCM wewe ukiwa si mwanaccm nani atakupa kibali cha kwenda kufanya kazi kwa rafiki yao.
 
Bwashee tangulia kufungua njia wengine wakufuate kutengeneza £££££

Uingereza ina uhaba mkubwa wa madereva wa malori kwa sasa hali iliyopelekea kuwepo uhaba wa mafuta vituoni na jeshi la nchi hiyo linajaribu kuingilia kati kwa kutoa madereva.

Hivyo mtanzania yoyote mwenye fani hiyo mchongo ndio huo hauhitajiki kuwa na kadi ya chama.

Usijesema ajira hakuna, Uingereza ni rafiki wa Tanzania na CCM pia.
 
Uingereza ina uhaba mkubwa wa madereva wa malori kwa sasa hali iliyopelekea kuwepo uhaba wa mafuta vituoni na jeshi la nchi hiyo linajaribu kuingilia kati kwa kutoa madereva.

Hivyo mtanzania yoyote mwenye fani hiyo mchongo ndio huo hauhitajiki kuwa na kadi ya chama.

Usijesema ajira hakuna, Uingereza ni rafiki wa Tanzania na CCM pia.
Li nchi la chifu Hangaya limejaa magaidi wa kuchora tena Ma- X Commandos, Malikia wa Ukweli hawezi kuwaruhusu Mahayanganian kuingia kwenye nchi ya Malikia. Kwa Akili yangu mdogo sijajua kwa nini Mahayanganian yanamwita mama yetu Chifu badala ya kumwita Malikia, nchi hii inajisababishia mikosi ya bure bure tu.
 
Back
Top Bottom