Noel kaniki
Member
- Feb 22, 2013
- 22
- 4
hapo bado kuna kitu hapo aiwezi ikachukua mpka wiki ssa hatuyaoni hayo majibu ni swala la IT tu kutengenezwa formula na kuingiziwa kwenye chombo vitu kujibadilish auto kutokana na alama uliopta na grade uliokuwa nayo mwanzo mgh.... haya matokeo mna ya panga nyie mnavyojua kila la heri na elimu yetu