Maelezo muhimu kuhusu majini!

Wewe elimu ya aina hiyo ya "viumbe wanaoitwa majini" umeipata wapi ??
Kila kitabu ambacho kimewazungumzia vya dini na visivyo vya dini na kwa kuishi nao wenyewe? wewe umeipata wapi?
 
Thread ikishageuka ya mabishano ya dini inapoteza ladha kabisa.
Maana pale inapofikia kila mtu anaona mwenzie kapotea ndio inaharibika kabisa hata wale waliotaka kujifunza siku yakiwakuta wajue kujikwamua wanaachana nayo,
 
Maana pale inapofikia kila mtu anaona mwenzie kapotea ndio inaharibika kabisa hata wale waliotaka kujifunza siku yakiwakuta wajue kujikwamua wanaachana nayo,
Watu wanashindwa kufungua mind zao na kujifunza mambo mbalimbali badala yake wanatanguliza mihemko ya dini. Huwezi kujifunza hata siku moja ukiwa umefungwa kwenye minyororo ya kiimani, kiitikadi nk.......
 
Kwa wewe ni kama sie hatuamin mtume wenu.. majina na imani za watu..
Jima la Yesu ni la kawaida why hakuna mtoto aliyexaliwa na kuitwa hilp jina si ni jina la kawaida hujiulixi why la Muhammad wengi wapo wana hayo majina.na sio Yesu??

Mkuu, waspanish wengi wanatumia jina hilo , kikwao huandikwa JESÚS, kwa hio tatizo sio jina ila ni mila za baadhi ya watu hairuhusu au tusemeje !!!
 
mh
Kwa wewe ni kama sie hatuamin mtume wenu.. majina na imani za watu..
Jima la Yesu ni la kawaida why hakuna mtoto aliyexaliwa na kuitwa hilp jina si ni jina la kawaida hujiulixi why la Muhammad wengi wapo wana hayo majina.na sio Yesu??
mh ilo jina la yesu hujalisikia ww tu maana kila lugha ina lafdhi zake ,ila mohammad not change ulimwengu wote wanatamka sawa
 
basi m
ie basi mie ntamtaja kwa jina la jesus kua sio mungu nmekosea
 
Ulishawahi kwenda ukakuta njia yako ni sahihi ama unaongea tuu ili kujibu!!fikiri kwanza kabla hujatoa jibu
hivi nikuulize unaweza kunambia ukiachana na binadam ambae anabatizwa unaweza kuntajia kiumbe chochote katka ulimwengu kinachofuata kanuni za kinatural kinachobatizwa,ujue kwamba kila kinachozaliwa kinazaliwa kiuhalisia sambamba na ulimwengu unavyotaka ,ubatizwaji ni sign ya kupotezwa huku njia unaiona,wewe umeona wapi zambie atende mwengne alafu adhabu iwapate wengne .kila mtu atahukumiwa kwa alivyotenda
 
Hivi nyie walokole mnajua hii dunia ina watu zaidi ya 7 billion.?!
...na kati ya hao wanaomtambua huyo Yesu ni just 1/3 ya population..huo ujinga wenu wa kukihusisha kila kitu na Yesu mnaonyesha mlivyo vilaza
Huyo anayeitwa YESU Ni kiboko aisee, wasiojua nawapa pole. Mm Ni mwenye dhambi lakini nilibahatika kukutana na sauti yake na Kuna Mambo aliwahi kunisaidia na kujitambulisha kwangu nikizidiwa sna na majanga najipelekaga tu anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa uhakika gani asa uliokujuilisha kua yeye ni yesu kwa kupitia sauti yake maana wengi wanasema wametokewa ila tunahitaji proof sio kubwabwaja tu,maana ata wendawazimu hujiwa na sauti na wakareact na wao pia hujiwa na yesu
 
Sasa mbona nawe unamuamini mtu huyo yesu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…