Maelezo haya ya leo yanaendana na maelezo ya Rais mstaafu Kikwete

Kwa uelewa wangu mdogo wa mambo ya utabibu cardiac arrest ina dalili zake. Je aliwekwa kwenye telemetry ili kuangalia rhythm ya moyo wake? Waliiangalia Cardiac markers kwenye damu yake? Hii hadith haingii akilini kusema ukweli...
 
Malaria inaelekea ni tatizo kubwa kwa mazingira anayoishi sijui mbu walimwambukizaje ila tumwache apumzike kwa amani
 
Ha haaa nani amroge? Kwaajili gani
IMG_20200728_121412.jpg
why why whyyyy putting our soldiers at risks without wearing masks. Why? This is not right at all totally unacceptable and fundamentally wrong!
 
Mwenzetu keshafariki acheni porojo, sasa wanaenda kuzika nyie mnaongelea ugonjwa, ili iweje!.

Mnatafuta tiba ya kumtibu marehemu?! Kwa hatua hii hata Gwajima hawezi kutia neno, achaneni na stori za ugonjwa, nendeni mazikoni.
 
Haya, leo mzizi wa uzushi umekatwa. Sababu ya kifo cha Rais mstaafu Mkapa imetajwa: ni mshituko wa moyo.

Licha ya hivyo, hicho sicho kilichompeleka hospitali.

Kilichompeleka hospitali ilikuwa ni kutojisikia kwake vizuri, ambapo baadaye ilikuja kugundulika kuwa ni malaria, kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa leo.

Rais mstaafu Kikwete alienda kumsalimia hospitali. Hakuondoka hapo spitali akiwa na wasiwasi kuhusu uhai wake [Mkapa].

Mimi toka awali nilihisi kuwa yaweza kuwa ni ama shambulio la moyo, mshtuko wa moyo, au tatizo jingine lakini ambalo lihusishalo moyo. Maana katika vifo vya ghafla, mara nyingi ‘mkosaji’ huwa ni moyo.

Hivi ndivyo Kikwete alivyosema.

Pamoja na yote hayo, kwa sababu tupo kwenye zama za ujinga na upumbavu wa kidijitali, sitegemei taarifa zilizotolewa leo zizime uzushi dhidi ya marehemu.

The Monk

Subiria madaktari bingwa wa kitaa waje kuchambua utastaajab tulivyo na wataalam lakini hatupigi hatua. Watapinga na kukataa haya maelezo.
 
Haya, leo mzizi wa uzushi umekatwa. Sababu ya kifo cha Rais mstaafu Mkapa imetajwa: ni mshituko wa moyo.

Licha ya hivyo, hicho sicho kilichompeleka hospitali.

Kilichompeleka hospitali ilikuwa ni kutojisikia kwake vizuri, ambapo baadaye ilikuja kugundulika kuwa ni malaria, kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa leo.

Rais mstaafu Kikwete alienda kumsalimia hospitali. Hakuondoka hapo spitali akiwa na wasiwasi kuhusu uhai wake [Mkapa].

Mimi toka awali nilihisi kuwa yaweza kuwa ni ama shambulio la moyo, mshtuko wa moyo, au tatizo jingine lakini ambalo lihusishalo moyo. Maana katika vifo vya ghafla, mara nyingi ‘mkosaji’ huwa ni moyo.

Hivi ndivyo Kikwete alivyosema.

Pamoja na yote hayo, kwa sababu tupo kwenye zama za ujinga na upumbavu wa kidijitali, sitegemei taarifa zilizotolewa leo zizime uzushi dhidi ya marehemu.

The Monk

Asante mkuu- hivi hao wazushi walijua maradhi yapi na kwa namna ipi Hayati BWM angekufa?
 
Mishipa imetukomaa..kafa na nini kafa na nini? Tutakufa wote pambav zetu
KAFA KWA UGONJWA uitwao TAARIFA YA HABARI ni ugonjwa mbaya sana hasa katika kipindi hiki cha kuelekea UCHAGUZI MKUU.
 
Bavicha hawaishiwagi uzushi na wanataka dunia iwaamini. Wanadai kila anaekufa nchini kwa siku za karibuni kafa kwa corona ila tukiwambia huenda pia risasi za Lissu ziliratibiwa na chama chake kwa ajili ya faida za kisiasa kama tunavoona linavotumika katika kumpaisha katika mbio za urais, wanakuwa wakali, kututukana na kutuita wenye roho za kishetani.
 
Back
Top Bottom