Maelekezo kujenga kitu kama hiki

Maelekezo kujenga kitu kama hiki

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,929
Reaction score
8,141
Habari..

Raman ipo hivi vipimo tutaweka baadae nkipata fundi


Ukimodify nataka iwe hivyo mbele afu nijenge nusu nusu


Mpauwo nafikiria uwe hivi




Je , wataalamu inawezekana .

Lengo ni mwakani nije kuunga kirahisi inakuaje wakuu.. mawazo yenu ni muhimu

Nb. Maelezo yamepangwa kulingana na picha zilivyo pangiliwa .
 

Attachments

  • FB_IMG_1753102165920~2.jpg
    FB_IMG_1753102165920~2.jpg
    211.5 KB · Views: 16
  • FB_IMG_1753102165920~4.jpg
    FB_IMG_1753102165920~4.jpg
    120.7 KB · Views: 19
  • FB_IMG_1753102165920~6.jpg
    FB_IMG_1753102165920~6.jpg
    128.8 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250722-215154~2.jpg
    Screenshot_20250722-215154~2.jpg
    48.3 KB · Views: 20
- Hiyo Floor plan na hiyo 3D (picha) mboni haviendani kabisa..
-Kiwanja chako kinasemaje kwanza
-Vipimo ni muhimu,kwani vinaweza kubadili muonekano mzima wa hiyo ramani yako
 
Back
Top Bottom