Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 547
- 183
hata sikumbuki ni lini simu yangu niliwahi kuweka zaidi ya 1000 halafu yeye anataka 5000!!wajameni mtatuua!!!!Hiyo ya kwanza tu, [credit ya shs 5000], bila kuongeza ombi lingine lolote, linatosha kutupa kule.
Baby naomba unicredit vocha ya elfu 5,na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya vtabu na elfu 25 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwahhhhhhh."
Je? Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?
Sasa unataka asile? Asipendeze? Asisome? Asiwasiliane na watu?
hivi siku hizi bf ni mzazi auuuuuuuuu
Hudumia baby yako....
hamna shida hapo!!!!.
hahaha, mchukue wanawake.wa level yenu jamani. Hapo hujaombwa hela ya internet package, 30,000 tu kwa mwezi. Lolhata sikumbuki ni lini simu yangu niliwahi kuweka zaidi ya 1000 halafu yeye anataka 5000!!wajameni mtatuua!!!!
Hawa hawajui kwamba ukiona vinapendeza ujue vinahitaji huduma. Kama wewe bahili tulia na usiwatafute mabinti, achia wenzio wahudumie.Sasa unataka asile? Asipendeze? Asisome? Asiwasiliane na watu?
Baby naomba unicredit vocha ya elfu 5,na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya vtabu na elfu 25 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwahhhhhhh."
Je? Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?
Baby naomba unicredit vocha ya elfu 5,na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya vtabu na elfu 25 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwahhhhhhh."
Je? Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?
Inategemea makubaliano yenu wakati mnatakana yalikuwaje. Haiwezekani gharama hizi zikaja "All of a sudden", lazima zina chanzo chake. Kama wakati unamtaka ulianza kwa kutangaza utajiri ulio nao kwa magari ya kuazima na pamba za kuazima lazima mizinga ya namna hiyo uipate. Likewise, starehe gharama. Gharamia ili uendelee kufaidi tunda.<<Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?>>