Rama ngwea
New Member
- Aug 9, 2020
- 2
- 1
Ndugu zangu naitwa Rama naishi Temeke Dar es Salaam nilikua naomba kuuliza kwa yeyote ambae anaweza jua mahali ambapo madumu yenye rangi nyeupe na yenye ujazo wa litre 30
Yanaweza kupatikana sehem gani katika jiji la Dar es Salaam
Yanaweza kupatikana sehem gani katika jiji la Dar es Salaam