Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Ndyo maana nasema wewe jmaa ni mshamba. Hujui unachoongelea kwanza ila unajifanya mjuaji.hapo tayari umejikamatisha kwamba simu yako ni ya North America na sio inayopaswa kuuzwa Kimataifa au Tanzania.
sababu wewe umenunua simu ambayo hukupaswa utumie usihalalishe wenzako nao wafanye hivyo.
1. simu yako ikipasuka kioo ndani ya miaka miwili toka uinunue au ikiingia maji utaitengeneza kwa hela yako ya mkononi tofauti na mwenzako alienunua yenye warranty hapa nchini atatengenezewa bure.
2. Tegemea na mtandao iliotoka kuna uwezekano simu yako haishiki bands zote za 4g sababu imetengenezwa kwa mazingira tofauti.
3. simu yako haikai na charge sana kama inayouzwa huku Tanzania. siku zote exynos version inakuwa more optimized kuliko snapdragon version kwa case ya samsung.
4. huna uhakika kama simu yako ni mpya au refurbished,
5. hupati updates yoyote ukiwa Tanzania, simu yako ni kama Tecno tu wenzako wakipata oreo au android P wewe upo hapo hapo
kuna madhaifu mengi tu ya kununua hizo simu, unajiona mjanja kumbe umeingizwa mjini.
Mpaka hapo hujaelewa sema unajitia kubusha tu.
Sina shida na warrantee ikiharibika ntanunua nyingine na hata hivyo sitegemei kukaa na simu ile ile miaka miwili wakati kila mwaka zinatoka mpya. Sasa hiv nafikiria s9. Sasa ningekuwa na warantee inisaifie nini?
Simu yangu ni ya Vietnim. Nimenunua mwezi baada ya kutoka. Uliona wapi ndani ya mwezi simu kutoka alafu kukawa na refurbished zake?
Kutokupata Update sio sababu ya kufanya simu isiwe origino. Nimeiroot hii simu ndani ya wiki nilipoinunua. Mi lazima niroot simu sababu ya apps nazoinstall zinahtaji rooted android phone. Na nimesha update Oreo ingaswa sio from OTA.
Na swala la charge wewe unajuaje kma ipo sawa au hpana?