Maduka ya simu samsung original

Maduka ya simu samsung original

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Msaada wana jf naomba msaada wa kujua samsung original kwa dar ni sehemu gani . naomba mwenyekujua ananambie
 
All phones zipo sealed kwenye box..complete accesories ..brand new....warranty 1 years...inbox for orders

Contacts : 0746282234 (voda)
0672255842 (tigo)

Delivery services are available

(Tunaleta simu ulipo kama unauhakika wa kuinunua.)
Location : Dar es salaam

huyu jamaa anapatikana dar anauza vitu orgn
 
ndo sehemu gani kwa hapa dar
Mlimani city utapata asee au mchek high life tz anauza vitu orgn waweza chukua namba yake kwa hii screenahot [emoji116]
eb5b19091b7bb4872369c7cc199fe5e0.jpg
 
All phones zipo sealed kwenye box..complete accesories ..brand new....warranty 1 years...inbox for orders

Contacts : 0746282234 (voda)
0672255842 (tigo)

Delivery services are available

(Tunaleta simu ulipo kama unauhakika wa kuinunua.)
Location : Dar es salaam

huyu jamaa anapatikana dar anauza vitu orgn
Ana page Instagram
 
Ila ndugu yangu unahangaika bure ningekushauri uende samsung customer care au kwa high life
 
Simu ya 1m wanauza 2m. Uo si ushamba.
Amesema anahitaji kitu orgn pia samsung wanauza bei elekezi na wanaleta simu zinazotumika afrika siyo asia wala europe yaani zimeandaliwa kuingia afrika na simu hazisumbui network wala nn
 
Acha ushamba wewe. Nilinunua s8 wakati zimetoka kwa 1.5 samsung ndyo walkuwa wanauza kwa 2.2
then pengine ulishikwa masikio, sababu s8 inatoka bei ya model ya chini kabisa ni dola 720, ambayo ni around 1.6 hapo bila kodi, usafiri etc ipo ughaibuni huko.

hizi zinazouzwa bei rahisi ni za korea, china marekani etc nyingi si mpya ni refurbished na kwa macho ya kawaida bila vifaa vya kitaalamu unaweza usitofautishe refurbished na mpya.

umeisajili na ADH? ilikubaliwa?
 
dar mi ni mgeni nimekuuliza wanapatikana maeneo gani hunambii
simu popote unaponunua ni sawa cha muhimu iwe na warranty ya miaka miwili ya samsung, hakikisha unasajili kabla hujaondoka. kwa dar kuuziwa simu ambazo hazipaswi kuuzwa Africa ni rahisi sana.

samsung wapo jmall mjini, wapo pia kariakoo wanaangalizana na kituo cha mwendokasi gerezani.
 
then pengine ulishikwa masikio, sababu s8 inatoka bei ya model ya chini kabisa ni dola 720, ambayo ni around 1.6 hapo bila kodi, usafiri etc ipo ughaibuni huko.

hizi zinazouzwa bei rahisi ni za korea, china marekani etc nyingi si mpya ni refurbished na kwa macho ya kawaida bila vifaa vya kitaalamu unaweza usitofautishe refurbished na mpya.

umeisajili na ADH? ilikubaliwa?
Wewe ni mshamba sana na hujui kitu. Naitumia hii s8 mpaka sasa. Na nimeinunua mwezi 1 baada ya kutoka na full boxed. Manufactured vietnam. Duos, 64gb.

Hizi simu tofaut ni processor
washamba kama nyie ndyo mnapigwa bila kujua.
S8 nyingi zinazouzwa hapa bongo zina octa-core Exynos 8895 ambazo zipo sana kwenye masoko ya Asia na ni cheap ukicompare na zenye Qualicomm Snapdragon zinazouzwa North America.

Sasa wewe unataja bei ya s8 yenye Snapdragon unafikiri s8 zote zina snapdragon?

Na hapo ndipo wabongo tunaibiwa kwa kukosa maarifa.

Sema kama unataka nikusaidie ni jinsi gani unaweza pata simu kama hizi kwa bei poa bila tax wala warrantee. Acha kujifanya mjuaji kumbe mshamba tu.
 
hapo tayari umejikamatisha kwamba simu yako ni ya North America na sio inayopaswa kuuzwa Kimataifa au Tanzania.

sababu wewe umenunua simu ambayo hukupaswa utumie usihalalishe wenzako nao wafanye hivyo.

1. simu yako ikipasuka kioo ndani ya miaka miwili toka uinunue au ikiingia maji utaitengeneza kwa hela yako ya mkononi tofauti na mwenzako alienunua yenye warranty hapa nchini atatengenezewa bure.

2. Tegemea na mtandao iliotoka kuna uwezekano simu yako haishiki bands zote za 4g sababu imetengenezwa kwa mazingira tofauti.

3. simu yako haikai na charge sana kama inayouzwa huku Tanzania. siku zote exynos version inakuwa more optimized kuliko snapdragon version kwa case ya samsung.

4. huna uhakika kama simu yako ni mpya au refurbished,

5. hupati updates yoyote ukiwa Tanzania, simu yako ni kama Tecno tu wenzako wakipata oreo au android P wewe upo hapo hapo

kuna madhaifu mengi tu ya kununua hizo simu, unajiona mjanja kumbe umeingizwa mjini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom