jaribu kinondoni muslim kuna maduka mengi pale na bei ni za kawaidamambo vipi?jamani wenyeji wa jiji la dar nielekezeni maduka bomba ya nguo za kisasa kama vile suit za kike,viatu,na nguo zingine za kisasa nipo hapa jijini kwa muda na sina mwenyeji.
Sitaki kwenda kariakoo.
Bei ziwe za wastani sio yale maduka sigiria tu laki moja!
Ninatanguliza shukrani!
jaribu kinondoni muslim kuna maduka mengi pale na bei ni za kawaida
nawashukuru sana wadau mmenipa mwanga nitaenda kesho na kuonyesha shukrani zangu naombeni viuno size zenu ili niwanunulie zawadi.
baba enock mimi mshamba wa jiji kariakoo naogopa kuibiwa ila kama hakuna alternative basi nielekeze hata huko nitaenda mimi nimeibiwa cheni kariakoo mwaka jana hadi leo napaogopa!