maduka ya nguo nzuri za kisasa yapo wapi dar?

faithful

JF-Expert Member
Aug 10, 2010
378
33
mambo vipi?jamani wenyeji wa jiji la dar nielekezeni maduka bomba ya nguo za kisasa kama vile suit za kike,viatu,na nguo zingine za kisasa nipo hapa jijini kwa muda na sina mwenyeji.
sitaki kwenda kariakoo.
bei ziwe za wastani sio yale maduka sigiria tu laki moja!
ninatanguliza shukrani!
 
Kama hutaki kwenda Kariakoo - Sina msaada!:nono:

baba enock mimi mshamba wa jiji kariakoo naogopa kuibiwa ila kama hakuna alternative basi nielekeze hata huko nitaenda mimi nimeibiwa cheni kariakoo mwaka jana hadi leo napaogopa!
 
jaribu kwenda Mwenge pale Stand ya Daladala, pia Makumbusho stand ya Daladala
 
Wakuu; tusiwe kama wahindi au super elitest. kariakoo hakuna uhuni wowote wakuu. sema labda kuchafu kuchafu. lakini kuna biashara nyingi. hawa watu wa DDC sijiwi wanaplani gani. mteja kama huyu anakiwa avutiwe na kitu kingine zaidi ya kushop. na hapo ndio wenye maduka watakapo pata wate classy. Huyu mwambieni akanunue kwa wahindi tu basi. na ndio maana wahindi wanatuzarau. biashara ipo. kwahiyo Dar hata duka la vicroria sectret lanaweza kuuza. kuna ma missy wengi tu.
 
mambo vipi?jamani wenyeji wa jiji la dar nielekezeni maduka bomba ya nguo za kisasa kama vile suit za kike,viatu,na nguo zingine za kisasa nipo hapa jijini kwa muda na sina mwenyeji.
Sitaki kwenda kariakoo.
Bei ziwe za wastani sio yale maduka sigiria tu laki moja!
Ninatanguliza shukrani!
jaribu kinondoni muslim kuna maduka mengi pale na bei ni za kawaida
 
nawashukuru sana wadau mmenipa mwanga nitaenda kesho na kuonyesha shukrani zangu naombeni viuno size zenu ili niwanunulie zawadi.
 
baba enock mimi mshamba wa jiji kariakoo naogopa kuibiwa ila kama hakuna alternative basi nielekeze hata huko nitaenda mimi nimeibiwa cheni kariakoo mwaka jana hadi leo napaogopa!

hukuibiwa bwana uliwapelekea utavaa vipi cheni kariakoo jamani ?????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom