faithful
JF-Expert Member
- Aug 10, 2010
- 378
- 33
mambo vipi?jamani wenyeji wa jiji la dar nielekezeni maduka bomba ya nguo za kisasa kama vile suit za kike,viatu,na nguo zingine za kisasa nipo hapa jijini kwa muda na sina mwenyeji.
sitaki kwenda kariakoo.
bei ziwe za wastani sio yale maduka sigiria tu laki moja!
ninatanguliza shukrani!
sitaki kwenda kariakoo.
bei ziwe za wastani sio yale maduka sigiria tu laki moja!
ninatanguliza shukrani!