Risk vs Return
Senior Member
- Apr 23, 2012
- 106
- 71
Wakuu salam zenu,
Nasikitika kuwajulisha kuwa hali ya kibiashara ni mbaya sana haina mfano, inavunja record ya miaka zaidi 10, haijawahi tokea, mauzo yameshuka hadi 45% la pili ambalo ni kiama watoza kodi TRA viwango vimepandishwa bila hata ile ya kawaida, hasa VAT ndio inatuuuwa na mapresure ma penalty + interest hadi kudaiwa mikodi inayozidi mtajikama sio kuuwa watu ni nini?
Ujasiriamali hasa kwa wazawa umekufa
Bora wangetuambia tu tufunge maduka turudi vijijini kwetu salama kuliko kutuuwa na mapresure
MBAYA ZAIDI NI JAMII KUWAONA KILA MFANYABIASHARA NI MKWEPA KODI
Shikamoo serikali ya awamu ya 5, nimefunga rasmi bar yangu