Maduka ya bangi Uholanzi

Maduka ya bangi Uholanzi

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
hivi madhara ya bangi hawa wadutch huwa hawayapati?

coffee-shops-amsterdam-1.jpg
coffeeshop-paradise-amsterdam-damstraat.jpg
SG%20Grey%20Area%20Cannabis%20Cup%202014%20Entry%20Greybone.JPG
amsterdam%20coffeeshop%202-large.jpg
shutterstock_172753478.jpg
 
Kwani mkuu hujaona na yale maduka ya wanaojiuza pale Red light street? Kule kila kitu mwanadamu anachopenda kipo kihalali kabisa na risiti ya EFD unapewa baada ya huduma
 
hata wagonjwa wa kansa hupewa dawa inayotokana na bangi ili kurudisha hamu ya kula innayopotezwa na madawa ya kansa.
Kinachotumika kiafya sio huo moshi bali mafuta ya mmea; Cannabis oil ambayo ina Tetrahydrocannabinol nk ...

Wanaovuta moshi wanaua mapafu na ubongo...! Ndo madhara ya bangi yalipo sasa.
 
Wenzio wanavuta bangi orijino haijachakachuliwa hata kidogo
sasa njoo huku Tarime na ukerewe bangi inavunwa inaenda
kuvundikwa chooni kwa muda wengine bangi kabla wa kuvunwa
wanapelekwa mbuzi kwenda kula
majani ya bangi kile kinyesi kitachopatina kutoka kwa mbuzi kinachanganywa na bangi hebu niambie ukivuta hapo kudata lazima Kingine ni unavuta huna uhakika wa msosi pesa huna kazi huna yaani huna uhakika na chochote kwa nini usiwehuke?Wadutch wanapuliza mmea kama starehe na ya kuliwaza kufurahia maisha sasa huku mtu anavuta bangi apate stimu ya kutkana watu Mwisho wa siku Bangi nibangue Sigara nigaragaze Baba nimuone kama Mtoto
 
kwa swala la moshi, sigara ni hatari kuliko bangi. sigara unaweza vuta pakti ya sigara ishirini kwa siku lakini huwezi vuta misokoto ya bangi yote hiyo. kwa suala la moshi, kupikia kuni ni hatari kuliko bangi.
 
umewahi ona mtu kavuta bangi na kuanza kutukana watu?
 
kwa swala la moshi, sigara ni hatari kuliko bangi. sigara unaweza vuta pakti ya sigara ishirini kwa siku lakini huwezi vuta misokoto ya bangi yote hiyo. kwa suala la moshi, kupikia kuni ni hatari kuliko bangi.
Ha ha ha! Aya bhana..! Acha kuvuta bangi!
 
Hii thread naona wavuta Bangi wengi ndio wamechangia

Bangi ina madhara
Tena sio kidogo ni makubwa sana
Sababu tunao watu katika ukoo walio athirika na hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom