- Thread starter
- #21
[emoji16]Unawasagia kunguni
[emoji16]Unawasagia kunguni
MADUDU YA USANGU LOGISTICS-WIZARA YA KAZI MPO WAPI
Utangulizi:
Ndg zangu,hii kampuni ni ya usafirishaji na makao ya ofisi ipo Tabata Matumbi.Wamiliki wa kampuni hii ni waburushi (Mwakabanga) ambao walianza wa tatu, kama madereva wakiwa wanaenda masafa marefu hadi kufikisha magari zaidi ya mia mbili leo hii.
Ila kwa masikitiko makubwa kabisa, waajiriwa wa kampuni hii wanapata mateso bila chuki kila kukicha. Wafanyakazi wa kampuni hii wananyanyaswa kwa kukatwa hela bila sababu za msingi kwenye mishahara yao inapokua inaingia, kufanya kazi bila mikataba, kupigwa, kucheleweshewa mishahara (mishahara kuingia tarehe isiojulikana),na pia wamiliki wa kampuni hii hutumia nafasi zao kutembea na wanawake waliowaajiri.
Hivyo basi, nikiwa naamini kuna sheria za kazi zinazomlinda mwajiri na mwajiriwa.
Naombeni vyombo husika kufatilia maswala hayo yaliosemwa hapo juu ili iwasaidie wafanyakazi waliopo katika kampuni hiyo.
Naombeni kuwakilisha.Mjumbe hauwawi!

Njoo na info au Jifunze, ni namna gani walianza na gari tatu mpaka kufikia hizo mia mbili na kadhaa...!!!MADUDU YA USANGU LOGISTICS-WIZARA YA KAZI MPO WAPI
Utangulizi:
Ndg zangu,hii kampuni ni ya usafirishaji na makao ya ofisi ipo Tabata Matumbi.Wamiliki wa kampuni hii ni waburushi (Mwakabanga) ambao walianza wa tatu, kama madereva wakiwa wanaenda masafa marefu hadi kufikisha magari zaidi ya mia mbili leo hii.
Ila kwa masikitiko makubwa kabisa, waajiriwa wa kampuni hii wanapata mateso bila chuki kila kukicha. Wafanyakazi wa kampuni hii wananyanyaswa kwa kukatwa hela bila sababu za msingi kwenye mishahara yao inapokua inaingia, kufanya kazi bila mikataba, kupigwa, kucheleweshewa mishahara (mishahara kuingia tarehe isiojulikana),na pia wamiliki wa kampuni hii hutumia nafasi zao kutembea na wanawake waliowaajiri.
Hivyo basi, nikiwa naamini kuna sheria za kazi zinazomlinda mwajiri na mwajiriwa.
Naombeni vyombo husika kufatilia maswala hayo yaliosemwa hapo juu ili iwasaidie wafanyakazi waliopo katika kampuni hiyo.
Naombeni kuwakilisha.Mjumbe hauwawi!
Angekuwa anawachekea chekea nadhan angekuwa amebaki kuwa dereva maisha Yake yote
Wamepambana kwa staili hyo had wameifikisha hapo hyo kampuni had wewe kupata ajira
DANDHO aliwachekea wafanyakaz kampuni ipo taaaban Sasa hivi
TUFANYE KAZI WATANZANIA TUACHE MANENO MINGIII
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mtaani mbona tupo wengi.Kampuni nyingi watu wanafanya kazi kwa mateso
Mtu akifikiria hali halisi ya mtaani anakuwa mpole automatically
Kama wizara itakuwa inafanyia kazi majungu basi itakuwa na kazi nyingi sana.Uzi umekaa kimajungu.
Hao wanawake huwa wanabakwa ? Liko wazi Wanawake wanapenda hela, sasa anaanzaje kumkataa bosi wake mwenye malori 200.
Pili umeweka historia hao jamaa walianza watatu kama madereva malori na wakapambana hadi kufikisha malori zaidi ya 200.
Sasa why na wewe usipambane kupata mali zako.
Why ung'ang'anie ajira ya mtu inayokupa manyanyaso
Sikatai mkuu lakn aweke ushahid unakumbuka jf ilifunguliwa kesi juu ya ile kampun ya mafuta kwasababu ya mtu mmoja ambaye hakuweka ushahid kitu ambacho MAX MELO amehangahka nayo sana ile kesiHaibadilishi ukweli wa unyanyaswaji wa wafanyakazi
Sina undugu hapo ila mimi mjasiriamali na nimeajiri pia aina ya watu kama mlalamikaji.Una undugu na kina mwakabanga nini?mbona unakubali dhuluma za waziwazi
Ili gari ikishikwa na Maliasili unaikimbia na kumuachia msala Usangu😁mizigo kama mikaa
miburushi ni vichwa ngumu.Haijali sheria za nchiHaya madai ni ya ukweli na ya muda mrefu,mfano driver taili au indicator ikapasuka wanakata kwenye mshahara wako,kuna jamaa yangu alifanya kazi hapo miaka ya 2017 alirudi akakabidhi gari lufanyiwe service akawakimbia
Hahahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupunguze kuiba Dizeli
una kifua nikuambie ukweli?[emoji16]Mpaka Annie wamempitia?
una kifua nikuambie ukweli?[emoji16]
Sina undugu hapo ila mimi mjasiriamali na nimeajiri pia aina ya watu kama mlalamikaji.
Ofisi za Kazi zipo, Polisi wapo, Vyama vya wafanyakazi vipo, mtu analalamika bila vithibitisho.Majungu huwa hayawezi kuthibitishwa.
hata mimi nimemkula[emoji16]Kifua nacho niambie tu