Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

Tukipewa kazi tunaringa tukiachishwa tunaanza kuwaharibia na kuwasumbua
 
Angekuwa anawachekea chekea nadhan angekuwa amebaki kuwa dereva maisha Yake yote

Wamepambana kwa staili hyo had wameifikisha hapo hyo kampuni had wewe kupata ajira

DANDHO aliwachekea wafanyakaz kampuni ipo taaaban Sasa hivi

TUFANYE KAZI WATANZANIA TUACHE MANENO MINGIII



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tuna tabu kweli kweliiii
 
Haya madai ni ya ukweli na ya muda mrefu,mfano driver taili au indicator ikapasuka wanakata kwenye mshahara wako,kuna jamaa yangu alifanya kazi hapo miaka ya 2017 alirudi akakabidhi gari lufanyiwe service akawakimbia
Sasa akiwachekea sinwatauza ata spear taili na kudanganya kuwa imepotea ...
 
Pengine ujumbe utawafikia,

Halafu mnaosema.....
Aache kazi, Analeta Majungu, Anunue ya kwake, Ajiajiri, Hajalazimishwa, na maneno mengine n.k...
Acheni kurahisisha mambo uonekane hapa, kisa wewe una ajira nzuri au umejiajiri au pengine hata hujiwezi....

Sisi Waafrika tunakatishana tamaa wenyewe, Kwahio mtu anapopinga uonevu, njia pekee ya kuachana nayo ni kukimbia???? Ni lini tutakua na mawazo ya kumaliza tatizo kwa manufaa yako na ya wengine baadae?

Kwahio Mwingine aje kesho naye akutane na shida hio, hivyo hivyo kila mtu utamshauri aache kazi? Ni lini huyo anayekosea atakuja jirekebisha?
Yaani kana kwamba ni sifa kupokezana matatizo,

Haina tofauti na wale wazazi wanaowapitisha watoto wao kwenye msoto eti naye aishi maisha ya shida ili ajifunze....

Hembu kua mtu wa kupenda haki, Haijalishi unaipata wewe au mwingine,
Wapo watu hio kampuni hata haituhusu, lakini ukiona mwenzako anaumizwa roho inakuuma, na mwingine yupo humo humo na ana uwezo wa kuacha lakini kwa nini aache kinyonge, hakuna kitu kinauma kama kukoseshwa haki yako,
Na hakuna raha kama kupata haki yako kwa juhudi zako...
Ma wazo mafupihayo.
Kujihurumia kwa matatizo uliyonayo hakukusaidi zaidi ya kujipa unyonge.
Polisi wapo.
Idara ya Kazi ipo
Vyama vya wafanyakazi vipo.
Kwa nini mnawanyima hao watu kazi ya kufanya?
Halafu mtu analalamikia kwapani!

Nzuri zaidi na we mtu anza na lori moja, ndani ya miaka 12 una fleet yako ya malori.
Huo ndio uanaume tunaotaka kuusikia
 
Ma wazo mafupihayo.
Kujihurumia kwa matatizo uliyonayo hakukusaidi zaidi ya kujipa unyonge.
Polisi wapo.
Idara ya Kazi ipo
Vyama vya wafanyakazi vipo.
Kwa nini mnawanyima hao watu kazi ya kufanya?
Halafu mtu analalamikia kwapani!

Nzuri zaidi na we mtu anza na lori moja, ndani ya miaka 12 una fleet yako ya malori.
Huo ndio uanaume tunaotaka kuusikia
Sasa mkuu nini unapinga na nini unakataaHao wote uliotaka ni njia mojawapo ya kupata haki, na mimi ndio naamaanisha,

Kwenye paragraph yako ya mwisho,
Naomba uelewe mimi hapa sizungumzii Kupambana kimaisha maana hilo halina ubishi na halihitaji lecture,
Nazungumzia kutokubali uonevu....
 
Ila wako ni mdogo zaidi
Hapo ulipo,kama unasoma ujumbe huu...soma kwa sauti,[emoji860]Mbona naambiwa sina akili[emoji3480]..rudia mara mbili kisha lala,utakua umeongeza kitu fulani siku ya leo[emoji196]
 
MADUDU YA USANGU LOGISTICS-WIZARA YA KAZI MPO WAPI

Utangulizi:
Ndg zangu,hii kampuni ni ya usafirishaji na makao ya ofisi ipo Tabata Matumbi.Wamiliki wa kampuni hii ni waburushi (Mwakabanga) ambao walianza wa tatu, kama madereva wakiwa wanaenda masafa marefu hadi kufikisha magari zaidi ya mia mbili leo hii.

Ila kwa masikitiko makubwa kabisa, waajiriwa wa kampuni hii wanapata mateso bila chuki kila kukicha. Wafanyakazi wa kampuni hii wananyanyaswa kwa kukatwa hela bila sababu za msingi kwenye mishahara yao inapokua inaingia, kufanya kazi bila mikataba, kupigwa, kucheleweshewa mishahara (mishahara kuingia tarehe isiojulikana),na pia wamiliki wa kampuni hii hutumia nafasi zao kutembea na wanawake waliowaajiri.

Hivyo basi, nikiwa naamini kuna sheria za kazi zinazomlinda mwajiri na mwajiriwa.

Naombeni vyombo husika kufatilia maswala hayo yaliosemwa hapo juu ili iwasaidie wafanyakazi waliopo katika kampuni hiyo.

Naombeni kuwakilisha.Mjumbe hauwawi!
Hapo kwenye kupigwa fafanua mkuu
 
Hapo ulipo,kama unasoma ujumbe huu...soma kwa sauti,[emoji860]Mbona naambiwa sina akili[emoji3480]..rudia mara mbili kisha lala,utakua umeongeza kitu fulani siku ya leo[emoji196]
Kama una tatizo maafisa wa wizara ya kazi wako ofisini hawana kaz za kufanya watakusaidia...
 
Hapo ulipo,kama unasoma ujumbe huu...soma kwa sauti,[emoji860]Mbona naambiwa sina akili[emoji3480]..rudia mara mbili kisha lala,utakua umeongeza kitu fulani siku ya leo[emoji196]
Na hapo una wiki moja humu ,japo ni sehemu tunaongea tunavotaka ila sio kw style hiyo
 
Ustaarabu ni jambo jema sana, elewa wenzako wanateseka wewe unaleta kebehi na dharau!
NI VYEMA UNGEKAA KIMYA WENYE MAMLAKA WALIFANYIE KAZI.
Anatakiwa ateseke ili afikirie na yeye kuacha kazi Siku moja anunue Hata kirikuu chake, aige mfano wa hao mabosi zake
 
Anatakiwa ateseke ili afikirie na yeye kuacha kazi Siku moja anunue Hata kirikuu chake, aige mfano wa hao mabosi zake
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom