Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

Madudu ya Usangu Logistics, Wizara ya kazi mpo wapi?

Pengine ujumbe utawafikia,

Halafu mnaosema.....
Aache kazi, Analeta Majungu, Anunue ya kwake, Ajiajiri, Hajalazimishwa, na maneno mengine n.k...
Acheni kurahisisha mambo uonekane hapa, kisa wewe una ajira nzuri au umejiajiri au pengine hata hujiwezi....

Sisi Waafrika tunakatishana tamaa wenyewe, Kwahio mtu anapopinga uonevu, njia pekee ya kuachana nayo ni kukimbia???? Ni lini tutakua na mawazo ya kumaliza tatizo kwa manufaa yako na ya wengine baadae?

Kwahio Mwingine aje kesho naye akutane na shida hio, hivyo hivyo kila mtu utamshauri aache kazi? Ni lini huyo anayekosea atakuja jirekebisha?
Yaani kana kwamba ni sifa kupokezana matatizo,

Haina tofauti na wale wazazi wanaowapitisha watoto wao kwenye msoto eti naye aishi maisha ya shida ili ajifunze....

Hembu kua mtu wa kupenda haki, Haijalishi unaipata wewe au mwingine,
Wapo watu hio kampuni hata haituhusu, lakini ukiona mwenzako anaumizwa roho inakuuma, na mwingine yupo humo humo na ana uwezo wa kuacha lakini kwa nini aache kinyonge, hakuna kitu kinauma kama kukoseshwa haki yako,
Na hakuna raha kama kupata haki yako kwa juhudi zako...
Dah mkuu umeandika point sana. Asante kwa hii comment
 
Ila sisi wafanyakazi tukiambiagwa ukweli tunaona tunaonewa

Haibadilishi ukweli wa unyanyasaji unaofanyika kwenye baadhi ya kampuni binafsi

Huko Kwenye kampuni nyingine wanao fanya ni WaTanzania kutokea Marekani?
 
Yukoje huyo annie? Hasa sehemu ya nyuma. Please mtu wangu elezea kwa undani zaidi.

Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa.

Mwacheni dada wa watu jamani hata machungu ya msiba hayajaisha

Binafsi alishanieleza juu ya mambo ya hao jamaa

Ila vile wana pesa wafanyakazi mnakubali kugandamizwa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mtaani mbona tupo wengi.
Unaishi kwa akili yako na juhudi ya kutafuta.
Akili ya kumwachia mtu mwingine akutafutie halafu wewe uishi raha mustarehe ni akili za utumwa.

Wote wakifikiria kama wewe nani atakuja kukufanyia kazi zako?
 
Sikatai mkuu lakn aweke ushahid unakumbuka jf ilifunguliwa kesi juu ya ile kampun ya mafuta kwasababu ya mtu mmoja ambaye hakuweka ushahid kitu ambacho MAX MELO amehangahka nayo sana ile kesi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Hii ni taarifa
Wahusika wanaweza kujua namna ya kudeal nayo

Ila haya malalamiko siyo ya leo ni ya muda tu.
Hawana pa kusemea
 
Back
Top Bottom