Madudu TCU, Ndalichako achia ngazi

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
Kutokana na TCU kutoa idadi ya wanafunzi wasio na sifa zaidi ya 8000 waliodahiliwa na tume ya wanafunzi wa elimu ya juu na kujiunga na vyuo mbali mbali hapa nchini hii imetosha sasa!

Ndalichako achia ngazi kwani haya madudu unayoyafanya kupitia TCU ni dhahiri kwamba wewe ni kikwazo kikubwa katika kuwaanda wanafunzi wenye ubora kulingana na mahitaji ya jamii hasa watakaoifanikisha Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati, hatuwezi fanikisha haya yote kama tunapeleka wanafunzi chuo kikuu wasio na sifa tena wanapewa na mikopo(pesa ya walipa kodi) huku wenye sifa na vipanga wakikosa mikopo hiyo.

Imetosha sasa, jiuzulu tu kwa mustakabali wa maendeleo ya taifa. Hii pia itakujengea sifa wewe mwenyewe kwani kwa sasa huna uwezo wa kuikwamua elimu yetu hapa ilipofikia zaidi ya matamko!

Pumzika mama, bora ujikite katika majukumu yako kule familia tu.

Umewakumbatia wasio na sifa 8000 sasa imetosha, pisha wengine waendeleze wizara nyeti hii
 
Ndalichako ameingia madarakani kakuta hao wanafunzi wapo chuon

Sasa ndalichako kaingiaje hapo

Unapoanzisha uzi tafuta fact kwanza

Sipend watu wazush km wewe

Siipend ccm Lakin ukweli usipindishwe
 
Ndalichako ameingia madarakani kakuta hao wanafunzi wapo chuon

Sasa ndalichako kaingiaje hapo

Unapoanzisha uzi tafuta fact kwanza

Sipend watu wazush km wewe

Siipend ccm Lakin ukweli usipindishwe
First year weng tu wapo katika list ya walitemwa na TCU!

kwa taarifa yako mpaka sasa Ndakichako anakaribia mwaka wa pili lakini hakuna kitu cha muhimu na mashiko alichokifanya zaidi ya matamko tu
 
unajua nasoma hii tread hata sielewi aliyeanzisha analeta hoja gani haswa. Ndalichako anahusikaje hapo, kama yeye ameweza kuwabainisha hata watu waliokuwepo awali nadhani anahitaji pongezi. Inakuwaje hafai tena?
 
Acha kuanzisha uzi bila fact

TCU ni agenc mojawapo ya wizara ya elimu!
hivyo iko chini ya Ndalichako, ukiona madudu pale lazima Wizara ihusike
 
chakujiuliza hao wanafunzi wote elfu nane walisajiliwaje kama kwel walikuwa namapungufu
serikali ya awamu hii kama muvie yan leo inasem ivi kesho vile
Kuna baadhi yao walidahiliwa na vyuo vikuu moja kwa moja...universities ndizo zilitakiwa kupeleka majina ya admitted candidates TCU
 
Back
Top Bottom