Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
Kama wenyewe ndani ya CCM hawaaminiani kuacha glasi ya maji mezani - na Rais anajua - mnafikiri ni rahisi kuaminiana hivyo?
nakumbuka Rais mwenyewe alishawahi kusema hivi.Kama wenyewe ndani ya CCM hawaaminiani kuacha glasi ya maji mezani - na Rais anajua - mnafikiri ni rahisi kuaminiana hivyo?
Unamsifia kuingia ikulu ya wengine wakati ameshindwa kuongoza nchi inaenda kombo? Wewe kweli kichwa cha panzi asiyejua mbele wala nyuma
Madrs wanajua ndio maana walikataa juisi za kifisadi isije kuwa ya Mwakyembe kwao
...ungemwazima ata mdogo wako akili kidogo ikusadie kufaham kuwa mazunguzo ya madaktari na serikali yameisha-vuka ngazi ya mawaziri,na ata huyo waziri mkuu akutia pua yake ktk hayo maongezi ya juzi...teh teh teh,kwi kwi kwi, kazi kweli kweli sasa issue imekuwa juice.waulizeni hao madaktari vipi kuhusu kutoendelea na mazungumzo yoyote mpaka waziri dr Mponda na naibu wake dr Nkya wajiuzuru,kama ulivyo msimamo wao wa awali?.nini kimetokea mbona hawasemi lolote zaidi ya hasira juu ya mawaziri hao.Naona wengi humu ni kama wale waliokuwa washabiki wa babu wa loliondo,na hii post bila shaka imeanzishwa na hao madaktari na wengi wa wachangiaji watakuwa wao.Ni kama ujanja wa kusahaulisha swali la msingi kuhusu madai ya mgomo wao wa pili kwamba hawatafanya mazungumzo yoyote mpaka mawaziri hao wajiuzuru kwanza.
Mambo ya Polinium 210 unadhani Madaktari hawayajui! Fuatilia academic records za Madaktari uone. Hawa ni vipanga kwenda mbele!
...ungemwazima ata mdogo wako akili kidogo ikusadie kufaham kuwa mazunguzo ya madaktari na serikali yameisha-vuka ngazi ya mawaziri,na ata huyo waziri mkuu akutia pua yake ktk hayo maongezi ya juzi...