Madokta walikataa kunywa Juice

Madokta walikataa kunywa Juice

jk alijisikiaje labda?,mkuu wa kaya kweli aaminiki....
 
hawakwenda Ikulu kunywa Juice, walikuwa sahihi kabisa kama alivyofanya Mwalimu Peter Mashanga kwa Mzee mwinyi enzi zileeeeeee kwa wanaokumbuka
 
Walipewa zao wakafakamia fasta, wakapewa round ya pili wakamaliza tena. Walipoulizwa ya 3 wakaona noma
 
Mambo ya Polinium 210 unadhani Madaktari hawayajui! Fuatilia academic records za Madaktari uone. Hawa ni vipanga kwenda mbele!
 
siamini,haiwezekani basi wanatisha.!!!
 
Wamekunywa na kula na walipotoka hapo kimyaaa, hawajapata usingizi waliyoyakuta huko. Wanajuuta kwenda Ikulu, lakini ndio wametia adabu wameelewa huko kuna vichwa.

Huko wamesha Mkonvinsi Rais wa US aake Tanzania siku 4 wakati hakuna aliyewahi kukaa masaa 24? unafanya mchezo. Huko kuna vichwa vilivyi konvinsi white house ya US kuwa Rais wa kwanza kuingia Ikulu katika awamu mpya atakuwa ni kutoka hapo Ikulu. Unafanya mchezo?
 
mbna na hapa hazionekani lakini inasemekana walikunywa
 
Back
Top Bottom