madocs ya mitumba halahala na wake zetu!

Na wengine skin jins ikikataa chomoka wakat wa kjaribu jaribu anasaidiwa na hawa hawa mablazameni na anasaidiwa na vile vilivyokushinda nyumbani...mbona mwenge ni balaa next time usisindikize utakufa siku si zako...
 
Kuna movie moja nimesahau jina ya kidhungu; mke wa mtu alimzimikia muuza nguo kwa kuwa mume wake alikuwa busy sana na hana time nae. Muuza nguo mwenyewe anauza nguo zake kwa kutumia mobile shop (bus kuubwa likipark mahali analigeuza duka)

Yule mama kila gari ikija anenda kununua nguo na hereni; mwisho akaanza kumegwa humo humo garini.

Ni stroy ndefu lakini ilikuwa ni funzo kwa husband kusahau familia; maana mwisho wa siku mama alikuwa anafanya mambo openly mpaka watoto wakaanza kumchukia na walikuwa wanakaa na mama mkwe.

Ukitimiza wajibu wako kama mume hakuna atakayetembea na mkeo; ukiwa wewe unarudi saa nane usiku, tena umelewa; aisee hao masharobaro wauza nguo hawakawii kukusaidia kumlea wife. Afu wajanja hao; wakiona mwanamke kaja na usafiri wa maana utaona wanavyotaka kuwa na extra mazoea; kupeana simu mzigo ukija akwambie and so on and so forth.

mhhhhhhhhhh ukimchunguza kuku humli......

wengi wanalambwa aisee.....believe me....anaijaribisha nguo,anatazama ilivyompendeza
halafu muuza mitumba anakataa kushusha bei...so mwisho wanaelewana tu...

but hivi kuna sababu gani ya kuvaa mitumba siku hizi ambapo kuna nguo za kichina za bei nafuu???mpya?????
 
kinondoni manyanya upande wa kota kabla mabanda ya mitumba hayajabomolewa mademu wamechunguliwa sana na wale cheap wameliwa mulemule huku wana wanakula deo!
 
Yote tisa wapaka rangi; yani mdada unaweka mguu kwenye paja la kijana afu anaanza kwa kunyoosha vidole (massaji ya bure) ndo anaanza kukupaka. Aisee mme wangu ana wivu siwezi paka rangi mbele yake. Ila nashangaa unakuta wengine wako bar Mr and Mrs wife anapakwa rangi mbele ya mumewe.

akili za baadhi ya wanawake nii pasua kichwa..

wauza mitumba
wauza nyma buchani
na madereva taxi....ukiwachunguza utatukana wanawake aisee....
 
Kuna movie moja nimesahau jina ya kidhungu; mke wa mtu alimzimikia muuza nguo kwa kuwa mume wake alikuwa busy sana na hana time nae. Muuza nguo mwenyewe anauza nguo zake kwa kutumia mobile shop (bus kuubwa likipark mahali analigeuza duka)

Yule mama kila gari ikija anenda kununua nguo na hereni; mwisho akaanza kumegwa humo humo garini.

Ni stroy ndefu lakini ilikuwa ni funzo kwa husband kusahau familia; maana mwisho wa siku mama alikuwa anafanya mambo openly mpaka watoto wakaanza kumchukia na walikuwa wanakaa na mama mkwe.

Ukitimiza wajibu wako kama mume hakuna atakayetembea na mkeo; ukiwa wewe unarudi saa nane usiku, tena umelewa; aisee hao masharobaro wauza nguo hawakawii kukusaidia kumlea wife. Afu wajanja hao; wakiona mwanamke kaja na usafiri wa maana utaona wanavyotaka kuwa na extra mazoea; kupeana simu mzigo ukija akwambie and so on and so forth.

itafute jina unitajie aisee hiyo movie
 
nk mie nafikir kuna wanaume hawana wivu
Yote tisa wapaka rangi; yani mdada unaweka mguu kwenye paja la kijana afu anaanza kwa kunyoosha vidole (massaji ya bure) ndo anaanza kukupaka. Aisee mme wangu ana wivu siwezi paka rangi mbele yake. Ila nashangaa unakuta wengine wako bar Mr and Mrs wife anapakwa rangi mbele ya mumewe.
 
mhhhhhhhhhh ukimchunguza kuku humli......

wengi wanalambwa aisee.....believe me....anaijaribisha nguo,anatazama ilivyompendeza
halafu muuza mitumba anakataa kushusha bei...so mwisho wanaelewana tu...

but hivi kuna sababu gani ya kuvaa mitumba siku hizi ambapo kuna nguo za kichina za bei nafuu???mpya?????

Mitumba ni mizuri sana..kwanza baadhi ya nguo za mtumba ni nzuri kuliko hata za Woolworth!
Pili nguo za mitumba ni unique..humkuti yeyote kaivaa..za kichina unaweza ukapita njian ukakuta kila mtu katinga
 
Je botike masaloon ya wakongo man na wanawawekea kusha urembo wakati mguu wa mmusapu wako kauweka kwenye paja la mkongoman!! we acha ukiangalia hayo utakuja kuzimika kama mshumaa wakongo man ni noma kwa wadada kinachotakiwa ni dada mwenyewe kujitambua kuwa yupo kwenye mahusiano!!na ni mali yamhusika lasivyo usiguse!

naanza kuamini ule msemo wa kiswahili "ukimchunguza kuku huwezi kumla"unajua juzijuzi nimemfuata mamsap pale stand alikuwa anachonga na kuchora kucha zake,pozi aliloweka ni balaa sijawahi kuliona.
 
Yote tisa wapaka rangi; yani mdada unaweka mguu kwenye paja la kijana afu anaanza kwa kunyoosha vidole (massaji ya bure) ndo anaanza kukupaka. Aisee mme wangu ana wivu siwezi paka rangi mbele yake. Ila nashangaa unakuta wengine wako bar Mr and Mrs wife anapakwa rangi mbele ya mumewe.

wapaka rangu huishia kupapasa tu....
lakini madereva taxi,acha tu..
wauza bucha wao hukopesha nyama na maini....deni likishakuwa kubwa tu
wadada wa uswahilini 'humalizana'...

wauza mitumba nao'huwapandishia wadada bei' ili washinde kununua waelewane....
unaweza ufikiri sio kweli but yanatokea mno
 
Hivi kweli.mtu atembee na mtu kwa sababu ya skin jeans na top,embu acheni kuwa dharau wanawake kiasi hicho,cha kushangaza hata wanawake wanaunga mkono mada kama hizi za kumdhalilisha mwanamke,kiasi hicho.
 
Usisahau shughuli ya kupandisha zipu huko mgongoni! Kitopu dress kinabanaaa! Shurti zipu ianzie ilipoishia g-string! Hehehe
yah...si unajua ukijaribisha skin jeans inahitajika msaada...au wewe Husninyo skin jeans zako huwa unanunulia wapi....
 
Hivi kweli.mtu atembee na mtu kwa sababu ya skin jeans na top,embu acheni kuwa dharau wanawake kiasi hicho,cha kushangaza hata wanawake wanaunga mkono mada kama hizi za kumdhalilisha mwanamke,kiasi hicho.

hapa tunazungumzia baadhi ya wanawake....
hatujasema wanawake in general...mbona akina aisha madinda na wema sepetu ni wake za watu pia
nini vi top,hata chips uswahilini unapata 'wake za watu'
 
mwenzangu!! Mambo mengine ni kama movie tu!
 
Hivi kweli.mtu atembee na mtu kwa sababu ya skin jeans na top,embu acheni kuwa dharau wanawake kiasi hicho,cha kushangaza hata wanawake wanaunga mkono mada kama hizi za kumdhalilisha mwanamke,kiasi hicho.

heee! Tembea uyaone ndugu.
 
Hivi kweli.mtu atembee na mtu kwa sababu ya skin jeans na top,embu acheni kuwa dharau wanawake kiasi hicho,cha kushangaza hata wanawake wanaunga mkono mada kama hizi za kumdhalilisha mwanamke,kiasi hicho.
hehehe wa wapi wewe?
 
afu ww mtoto! my son yuko wapi usinitenge na mwanangu bibie,sikukuzalia wewe eeh!
na mie sivai mitumba,baba mkwe wako wamjua nguo analeta mwenyewe kutoka xhongua!
tatizo zimefanana na za housigeli wa jirani
nilitaka kushangaa hii sredi nisimuone mkwe. Lol
 
si afadhali sie tuna akili na strategy za kupata viwalo na chips kuku? sasa nyie na mahouse galz! :tongue::lol:
ila mnatudhalilisha sana jamani, we ar nt that lol,kha!

Back
Top Bottom