madocs ya mitumba halahala na wake zetu!

Je botike masaloon ya wakongo man na wanawawekea kusha urembo wakati mguu wa mmusapu wako kauweka kwenye paja la mkongoman!! we acha ukiangalia hayo utakuja kuzimika kama mshumaa wakongo man ni noma kwa wadada kinachotakiwa ni dada mwenyewe kujitambua kuwa yupo kwenye mahusiano!!na ni mali yamhusika lasivyo usiguse!

yale yote sawa lakini hii sikubali!
 
usiende tena siku nyingine. maana utaumia bure. ila cha kufanya ni kumuamini mkeo
 
kumbuka jamaa anaangalia miguu na kuona skirts zinavyodondoshwa na kupandishwa.hapandwi na mihemuko?

ukijijua una roho nyepesi usiende, ila huyo muuzaji si ndo kazi yake? si lazima atongoze wateja. ila umejihoji huko barabarani mkeo anatamaniwa na wangapi? anatongozwa na wangapi? hebu muamini
 
Ushaona fundi cherehani akitafuta kujua kiuno cha mrembo,kifua, msamba ni balaaaa tupu kuwa mpole acha maisha yaende usije kufa kwa shinikizo la DAMU!
 
hapa tunazungumzia baadhi ya wanawake....
hatujasema wanawake in general...mbona akina aisha madinda na wema sepetu ni wake za watu pia
nini vi top,hata chips uswahilini unapata 'wake za watu'

..sio tu uswahilini, hata MABIBO HOSTELI kwa wasomi wetu-chips soseji/mishkaki "inaoa" mtu!
 
mhhhhhhhhhh ukimchunguza kuku humli......

wengi wanalambwa aisee.....believe me....anaijaribisha nguo,anatazama ilivyompendeza
halafu muuza mitumba anakataa kushusha bei...so mwisho wanaelewana tu...

but hivi kuna sababu gani ya kuvaa mitumba siku hizi ambapo kuna nguo za kichina za bei nafuu???mpya?????

Nakubaliana na wewe 100% hapo kwenye red. Ni uharibifu wa hela tu
 
mwisho wa wiki saloon na katikati ya wiki kwenye kuremba kucha huku jumatatu anaenda kutafuta nguo kwenye docs yani ni utata mtupu.
 
hapa tunazungumzia baadhi ya wanawake....
hatujasema wanawake in general...mbona akina aisha madinda na wema sepetu ni wake za watu pia
nini vi top,hata chips uswahilini unapata 'wake za watu'

daaaah Mkuu kwa hali hii sitaoa lol.
 
akili za baadhi ya wanawake nii pasua kichwa..

wauza mitumba
wauza nyma buchani
na madereva taxi....ukiwachunguza utatukana wanawake aisee....

kwa kuongezea,wauza magenge wamo,pia kuna wengine wanakuja kasi,wapaka rangi za vidole,utakuta kainama miguuni mwa mkeo kama anaenda uvinza.
 
Cha muhimu ni kumwamini gf wako. Angekuwa ana nia mbaya wala asngekuomba umsindikize huko kwenye madocs.
 
kama dem ni mgawaji atagawa tu ata akiingia kanisani wanajua nini wanachofata bana!
 
Back
Top Bottom