Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,182
Gazeti la Nipashe limeripoti ya kuwa Madiwani wateule wa Chadema wameandamana hadi kwa DED kupinga uonevu ambao Manispaa hiyo ya Moshi imekuwa ikiwaonea wamachinga..................
Nilifikiri sasa siyo wakati tena wakuandamana ila kujiandaa kuanza kuchapa kazi ukizingatia hiyo Manispaa ya Moshi sasa ipo mikononi mwao Chadema na watakuwa na sauti ya turufu juu ya hilo jiji la Moshi litakavyokuwa likiendeshwa.............