Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi wakiongozwa na mstahiki Meya, mheshimiwa Raymond Mboya wakipokea Magari Mapya matatu (3) ya Kuzoa taka yaliyowasili Leo! Kazi kubwa ya Baraza la Madiwani wakiongozwa na CHADEMA......tumetekeleza tena, tulichoahidi, mmetuamini tunarejesha imani yenu kwetu kwa huduma zilizotukuka, MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU ibariki Moshi na Watu Wake