linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,701
- 4,325
Havieleweki kwa kwelikama yeye ndio anaepeleka barabara na maendeleo sehemu zote vipi tena watu kuwalaumu wabunge kuwa hawafanyi maendeleo kwenye majimbo yao wasimlaumu Rais?
Havieleweki kwa kwelikama yeye ndio anaepeleka barabara na maendeleo sehemu zote vipi tena watu kuwalaumu wabunge kuwa hawafanyi maendeleo kwenye majimbo yao wasimlaumu Rais?
Nani chochote anachokunywa..Mkuu hapo ulipo agiza mchemsho nakuja kulipia
Napenda sana tamthilia za kibongo editor hujisahau wapi pa kujenga hojaWananchi hawakwenda kazini ila walisubiri kumsimamisha
Kaka upo!Hivi msafara wa Rais huwa UNASIMAMISHWAJE???
Hivi hii statement huwa anamaanisha au anaongea kwa mazoea tu kwa kuwa watanzania ni wasahaulifu .......... hii sentence kwa kweli haifanani na anachokifanya na kukisema majukwaani kila siku!! Halafu huwa anapenda kuirudia rudia!!"Uchaguzi umeshakwisha sasa ni maendeleo mliamua mkamchagua Magufuli na ndiyo Rais na mimi nitakuwa Rais wala sibadiliki na nitawatumikia Watanzania wote,
Mwandawazimu aliyechoka maisha na asiyeogopa watu wasiojulikana pekee anaweza kusimamisha msafara huo!!Hivi Kwa speed ya msafara wa Rais ni mtu gani anaweza kuingia barabarani na kuusimamisha? Tatizo letu ni Kiswahili au ni ujinga wa kudanganya wananchi? Hivi Rais anaweza kusimama tu bila kupangiwa au kupanga kwamba atasimama sehemu fulani?
Kwa nini tusiseme Rais alisemama kuwasalimia wananchi. Walau hilo linaweza kuwa na Ukweli.
Nipo kaka, Habari za uzimaKaka upo!