Madiwani walionunuliwa, Magufuli akwepa swali la Wanaarusha walipomuuliza asema sio mda wa kampeni huu ni kazi tu

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Rais Magufuli amewazungumzia wabunge wawili wa (CHADEMA) Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema pamoja na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari kuwa ni wabunge halali wa majimbo hayo kwa kuwa wananchi ndiyo waliwachagua.

Magufuli%20.jpg

Rais Magufuli amesema hayo leo aliposimamishwa na wananchi wa Sangisi katika kata ya Akeri nje kidogo ya Mji wa Arusha akiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam leo Asubuhi na kusema yeye atabaki kuwa Rais wala hawezi kubadilika na kuendelea kuwatumikia Watanzania wote.

"Uchaguzi umeshakwisha sasa ni maendeleo mliamua mkamchagua Magufuli na ndiyo Rais na mimi nitakuwa Rais wala sibadiliki na nitawatumikia Watanzania wote, mliamua mkamchagua Mhe. Lema wa CHADEMA kuwa Mbunge wenu yule ni Mbunge halali, mkaamua kumchagua Nassari kuwa Mbunge wenu ni Mbunge halali kwa hiyo tushikamane sisi kama Watanzania kuleta maendeleo yetu uchaguzi ulikwisha tusubiri mwaka 2020" alisema Rais Magufuli

Mbali na hilo Magufuli amewataka Watanzania kuleta maendeleo ya kweli bila kubagua vyama na kubagua dini zetu na bila kubagua makabila na kusema yeye kama kiongozi wa nchi hajaweza kuwabagua na ndiyo maana anafanya mambo ya maendeleo katika majimbo hayo ikiwa ni pamoja na kupeleka barabara
 
Mbona yeye ndiye amezalisha dhambi ya ubaguzi nchini.
 
Eti wananchi walimsimamisha, hao ni wananchi waliokodiwa kwa kulipwa hela, arusha madiwani wananunuliwa wananchi wanahongwa
 
Hivi Kwa speed ya msafara wa Rais ni mtu gani anaweza kuingia barabarani na kuusimamisha? Tatizo letu ni Kiswahili au ni ujinga wa kudanganya wananchi? Hivi Rais anaweza kusimama tu bila kupangiwa au kupanga kwamba atasimama sehemu fulani?

Kwa nini tusiseme Rais alisemama kuwasalimia wananchi. Walau hilo linaweza kuwa na Ukweli.
 
Rais Magufuli amewazungumzia wabunge wawili wa (CHADEMA) Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema pamoja na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari kuwa ni wabunge halali wa majimbo hayo kwa kuwa wananchi ndiyo waliwachagua.

Magufuli%20.jpg

Rais Magufuli amesema hayo leo aliposimamishwa na wananchi wa Sangisi katika kata ya Akeri nje kidogo ya Mji wa Arusha akiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam leo Asubuhi na kusema yeye atabaki kuwa Rais wala hawezi kubadilika na kuendelea kuwatumikia Watanzania wote.

"Uchaguzi umeshakwisha sasa ni maendeleo mliamua mkamchagua Magufuli na ndiyo Rais na mimi nitakuwa Rais wala sibadiliki na nitawatumikia Watanzania wote, mliamua mkamchagua Mhe. Lema wa CHADEMA kuwa Mbunge wenu yule ni Mbunge halali, mkaamua kumchagua Nassari kuwa Mbunge wenu ni Mbunge halali kwa hiyo tushikamane sisi kama Watanzania kuleta maendeleo yetu uchaguzi ulikwisha tusubiri mwaka 2020" alisema Rais Magufuli

Mbali na hilo Magufuli amewataka Watanzania kuleta maendeleo ya kweli bila kubagua vyama na kubagua dini zetu na bila kubagua makabila na kusema yeye kama kiongozi wa nchi hajaweza kuwabagua na ndiyo maana anafanya mambo ya maendeleo katika majimbo hayo ikiwa ni pamoja na kupeleka barabara
Hiyo statement in reality, tofauti yake ni sawa sawa na safari ya kutoka duniani kweda mbinguni!!
 
uyu mzee kila siku anajitapa yeye ni Raisi asiye na u-chama , kama kweli yeye ni Raisi asiye na u-chama inakuaje unataka watu ambao sio wana-CCM warudishe kadi na wajiunge na CCM tena kwenye mikutano ya serikali na inayo hudumiwa na kodi za wananchi? eti kigezo wanakusapoti , hapa tusidanganyane una roho mbaya, mchama, kiburi, kauli chafu, hujui majukum yako kwa nafasi yako, na mtawala mbovu kuliko wote hadi sasa.
 
Hivi Kwa speed ya msafara wa Rais ni mtu gani anaweza kuingia barabarani na kuusimamisha? Tatizo letu ni Kiswahili au ni ujinga wa kudanganya wananchi? Hivi Rais anaweza kusimama tu bila kupangiwa au kupanga kwamba atasimama sehemu fulani?

Kwa nini tusiseme Rais alisemama kuwasalimia wananchi. Walau hilo linaweza kuwa na Ukweli.
Mkuu umenena ukwel,,,ule msafara na kasi ile nan wakuucmamisha ?
Namuombea aje mbeya ata Mara moja ajionee watamtreat vip uyu jamaa
 
Hivi Kwa speed ya msafara wa Rais ni mtu gani anaweza kuingia barabarani na kuusimamisha? Tatizo letu ni Kiswahili au ni ujinga wa kudanganya wananchi? Hivi Rais anaweza kusimama tu bila kupangiwa au kupanga kwamba atasimama sehemu fulani?

Kwa nini tusiseme Rais alisemama kuwasalimia wananchi. Walau hilo linaweza kuwa na Ukweli.
Mkuu hapo ulipo agiza mchemsho nakuja kulipia
 
Magu bhana.....

Kwan nan hajui Lema ni Mbunge halali wa jimbo la Arusha Mjini????

Nani hajui Nasari kuwa n mbunge halali wa jimbo la Arumeru Mashariki??????

Nani hajui kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Pombe Magufuli??????

Hiv Marais wengine walikuwa wanafanya hvi?????
 
Ukiona MTU anatumia sana neno Mimi Mimi Mimi basi ujue sio yeye
Nanukuu; "Mliamua Kumchagua Magufuli na ndio Rais na Mimi NITAKUWA Rais wala sibadiliki na nitawatumikia watanzania wote"
TUMUOMBEE maana jamaa bado hajaamini kama yeye ndie Rais wa sasa na ndio maana ametumia neno NITAKUWA ambalo ni wakati ujao.
 
..Magufuli amewataka Watanzania kuleta maendeleo bila kubagua vyama na kubagua dini zetu na bila kubagua makabila
Kuna Waanchi aliwaita wapumbavu mbele ya hadhara kwa kuwa tu walikula winga na kumuacha kwenye mataa. Charity begins at home. Angepunguza yeye kwanza kuwabagua watu na kuwabrand majina ya ajabuajabu ili sote tuige mfano kutoka kwake
 
Ukiona MTU anatumia sana neno Mimi Mimi Mimi basi ujue sio yeye
Nanukuu; "Mliamua Kumchagua Magufuli na ndio Rais na Mimi NITAKUWA Rais wala sibadiliki na nitawatumikia watanzania wote"
TUMUOMBEE maana jamaa bado hajaamini kama yeye ndie Rais wa sasa na ndio maana ametumia neno NITAKUWA ambalo ni wakati ujao.

Kwan nan hajui kama yeye ni Rais??????

Huyu akilin yuko sawa sawa kweli????

Wananchi si ndo waliomchagua iweje wasijue kuwa ndiye Rais?????
 
Back
Top Bottom