Cdm hakimfai tunamkaribisha ccm.Sidhan kama ni solution cdm kuendelea kufukuza wanachama,inaonesha ni watu wanaokurupuka,kwan hawana kamati ya maadili ya chama ambapo mwanachama anapokosea anawekwa kitimoto.Hawa jamaa tukiwapa nchi tutaingia machafukon coz chama hakijaiva kukamata dola, kama tu mtu mmoja ndan ya chama tena diwan anaweza kuyumbisha kiasi hicho,hiki ni chama cha watu wa kasikazin tuwaachie wenyewe.
gamba wewe! Kwa nini usisubiri uhakika kwanza? Ban inakusubilia
Cdm hakimfai tunamkaribisha ccm.Sidhan kama ni solution cdm kuendelea kufukuza wanachama,inaonesha ni watu wanaokurupuka,kwan hawana kamati ya maadili ya chama ambapo mwanachama anapokosea anawekwa kitimoto.Hawa jamaa tukiwapa nchi tutaingia machafukon coz chama hakijaiva kukamata dola, kama tu mtu mmoja ndan ya chama tena diwan anaweza kuyumbisha kiasi hicho,hiki ni chama cha watu wa kasikazin tuwaachie wenyewe.
Source.?? usisahau kutuwekea na sababu za hatua hiyo..
Tutafika tu katika kuiweka tanzania mikononi mwa wazalendo. Mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema na dk slaa......semeni amina
uhakika kutoka kwa nani wewe? unataka nani akutangazie? we unanifahamu mimi ni nani?
Tukufahamu wewe ni nani ili iweje?