haya ni maneno ya kisiasa tu humu! wao madiwani hawamtambui, mbona viongozi wao wanaenda mpaka ikulu na kukaribishwa juice, na wao kufikisha maombi yao, je wanaendaga kwa kivuli kule! na mbona kukitokea jambo viongozi wao wanatamka neno mh.rais panapo hitajika! vitu vingine ni siasa zaidi! sijawaelewa wakisema hawamtambui rais
Ni watu wadogo sana hao,yani hawana hata hadhi ya kumpokea PM. Wanatafuta umaarufu tu kusema hawataenda. We ngoja wasikie kuna mlo hapo KIA,watachukua mpaka familia zao.
wana kazi gani kubwa mpaka wapewe notice ya mwezi?siku nzima ni kushinda vijiweni au barwamesema hawamtambui Meya na sio raisi na hawahudhurii pia kwakuwa wamepewa short notice! Huelewi au unajitia wazimu!?
Wanabodi
Taarifa za uhakika kutoka miongoni mwa madiwani wa CHADEMA manispaa ya Arusha,zinasema kuwa hawatashiriki mapokezi ya Rais wa JMT anayetarajiwa kufika Arusha kesho,Awali madiwani wote walipaswa kumpokea Rais Kikwete kesho saa nne kwenye uwanja wa ndege wa Arusha.Kwa mujibu wa madiwani wa CHADEMA wanapinga kupewa short notice tena kwa simu kinyume na kanuni,pia kwa kuwa Meya atashiriki hayo mapokezi na wao hawamtambui
Je ni halali madwani kukataa kumpokea Mh Rais?
Wanafanya kama afanyavyo Kikwete IKULU kimekua kituo cha polisi kutwa kuzurura nyumba yake imetoboka mafuriko yamesogea karibu atasombwa yeye anazurura tuu ikawa mchana ikawa usiku hajali kitu mwana wa msata hovyooowana kazi gani kubwa mpaka wapewe notice ya mwezi?siku nzima ni kushinda vijiweni au bar
Ni rais wa pekee ambaye dunia imepata kumshuhudia. Mwezi wa 2 alienda kuwapa ng'ombe wamasai huko Longido. Sasa hv tena anaenda Ngoro2 kuwapa ng'ombe. Watu hawana maji ya kunywa, ngombe wanakufa kwa kiu, bado unawapa ng'ombe.
Mbona haji Arusha mjini? kuna nini hapa town? Km anategemea kura za Wamasai asahau, amuulize Sendeka nn kinaendelea kwa Wamasai.
Madiwani msisogee kwa huyo mtu, maana mtaishia kupewa FUTARI jioni, kwisha habari yenu.
Achaneni na huyo mtu.
gwanda utamjua tu.hivi nyie uwa mnapewa course ya kufikiri ki cdm cdm?Wanafanya kama afanyavyo Kikwete IKULU kimekua kituo cha polisi kutwa kuzurura nyumba yake imetoboka mafuriko yamesogea karibu atasombwa yeye anazurura tuu ikawa mchana ikawa usiku hajali kitu mwana wa msata hovyooo
Ni rais wa pekee ambaye dunia imepata kumshuhudia. Mwezi wa 2 alienda kuwapa ng'ombe wamasai huko Longido. Sasa hv tena anaenda Ngoro2 kuwapa ng'ombe. Watu hawana maji ya kunywa, ngombe wanakufa kwa kiu, bado unawapa ng'ombe.
Mbona haji Arusha mjini? kuna nini hapa town? Km anategemea kura za Wamasai asahau, amuulize Sendeka nn kinaendelea kwa Wamasai.
Madiwani msisogee kwa huyo mtu, maana mtaishia kupewa FUTARI jioni, kwisha habari yenu.
Achaneni na huyo mtu.
Tanzania ni ya wote na yeyote anayetaka kuikalia IKULU lazima akili zake zitoshe awe kiongozi kweli sio wa kuwasha na kuzima kwa hiyo tuongelee nchi yetu usipindishe mada hapa Kikwete anaenda kugawa ng'ombe ngorongoro maji kapeleka au majosho kajenga au ndio anaenda kempisinki ya mjamaa aliyemgawia suti sita tunajua janja yakegwanda utamjua tu.hivi nyie uwa mnapewa course ya kufikiri ki cdm cdm?
Ni rais wa pekee ambaye dunia imepata kumshuhudia. Mwezi wa 2 alienda kuwapa ng'ombe wamasai huko Longido. Sasa hv tena anaenda Ngoro2 kuwapa ng'ombe. Watu hawana maji ya kunywa, ngombe wanakufa kwa kiu, bado unawapa ng'ombe.
Mbona haji Arusha mjini? kuna nini hapa town? Km anategemea kura za Wamasai asahau, amuulize Sendeka nn kinaendelea kwa Wamasai.
Madiwani msisogee kwa huyo mtu, maana mtaishia kupewa FUTARI jioni, kwisha habari yenu.
Achaneni na huyo mtu.
wewe kweli kichekesho. JK ni RAIS wa TZ,akitaka kuingia hata nyumbani kwenu ataingia tena utampa na master bedroom yenu alale. hizi ni kelele zenu tu humu JF lakini ukikutana nae lazima utajifaragua. Oh mzee,karibu sana. Asante sana kwa kututembelea.halafu unaanza kutoa shida zako.wabongo hamtabadilikaNimeisoma hii thread nikapatwa na mshangao. Nimejiuliza iweje jk aje A town. Nimesema mara nyingi hapa. Jk hawezi kutia mguu A town. Ni wageni wanaodanganywa kwamba yupo Arusha, wanadhani ni mjini, kumbe yupo Loliondo, km 400 kutoka A town. Huyu jamaa hawezi kuja A town. Narudia tena, hawezi kuja A town hata akifungwa kamba!
wamesema hawamtambui Meya na sio raisi na hawahudhurii pia kwakuwa wamepewa short notice! Huelewi au unajitia wazimu!?
alete maji kwani yeye kawa mvua? Unataka kutuambia CDM ikishika nchi mvua zitaongezeka?Tanzania ni ya wote na yeyote anayetaka kuikalia IKULU lazima akili zake zitoshe awe kiongozi kweli sio wa kuwasha na kuzima kwa hiyo tuongelee nchi yetu usipindishe mada hapa Kikwete anaenda kugawa ng'ombe ngorongoro maji kapeleka au majosho kajenga au ndio anaenda kempisinki ya mjamaa aliyemgawia suti sita tunajua janja yake