Madiwani wa CHADEMA Arusha kususia mapokezi ya JK kesho

hii ni kweli hebu nambie kiwanja vilivyopimwa arusha seliani ni million 18 ni mtz wa aina gani wa mshahara hata kama unapata m5 utakipataje achilia mbali sisi wa 500,000


Mkuu we acha tu, viwanja vya Burka tulitoa laki sita kwa kila mwombaji nadhani, matokeo yake akina Rizimoko wakaja na mamilioni, akina sisi wengine hata pesa zetu hazijarudishwa!
Tanzania ni nchi ya familia moja!
Heri Lowassa angekuwa rais kuliko huyu mbuzi katoliki, japo Lowassa naye kajipatia eneo la Suma Jkt kwa njia ya panya afadhali yake!
 
Hivi hao madiwani wana umuhimu gani kwanza wao kwao hawapatani wamefukuzana huko Arusha, bora wasiende kuepusha balaa...wanachekesha sana Dr Slaa, Mbowe, Mnyika walienda Ikulu inatosha sijui madiwani na viongozi wa Chadema nani ana umuhimu.
 
Siasa za TZ bana? .Siku hizi wanasiasa wamegeuka kuwa washehereshaji.. kila tukio lazima liundiwe filamu au litolewe tamko ,inasikitisha kwa kweli.
 
<br>


Nchi hii ina wehu wengi kweli kwenye M4C kuna nani aliapishwa kuwa Raisi unasema ; Kikwete anaweza kujifungia ndani ya IKULU kweli kwa lipi he is not a visionary leader yeye anatawala nchi bora liende hana legacy ataondoka hata nzi hawatamkumbuka tunamkumbuka Nyerere na sera zake za ujamaa.Mwinyi Mzee -Ruksa,Mkapa uwazi na ukweli hembu tuambie Kikwete la kumkumbuka lipi kukopa mpaka kuua mashirika ya hifadhi ya kijamii au lipi kuhonga ardhi kwa waarabu na wazungu au lipi kugeuza IKULU sebule ya rushwa we vipi wewe&nbsp; wote tunajua hakuna tatizo amewahi kutatua huyo ni ubabe tuu siku zote anakimbia akataze watoto wasipandishwe kwenye makarandinga
atakumbukwa kwa kuwaendekeza nyie na viongozi wenu kukaa na kuropoka kama vichaa bila kuchukuliwa hatua, atakumbukwa kwa kuwakaribisha chai walio mkataa kuwa sio rais. Atakumbukwa kwa kuwapa uhuru wabunge vikojozi kumkashifu. Atakumbukwa kwa heshima anayo wapa wapinzani pamoja na kuwa hawastahili hata kusalimiana nao.
 
atakumbukwa kwa kuwaendekeza nyie na viongozi wenu kukaa na kuropoka kama vichaa bila kuchukuliwa hatua, atakumbukwa kwa kuwakaribisha chai walio mkataa kuwa sio rais. Atakumbukwa kwa kuwapa uhuru wabunge vikojozi kumkashifu. Atakumbukwa kwa heshima anayo wapa wapinzani pamoja na kuwa hawastahili hata kusalimiana nao.
Ulisikiia IkuLU ni nyumba ya mama yake Raisi Kikwete ulisha sikia neno State House manake nyumba yetu wote nchi zingine lango lina kuwa wazi watu wanajipitia muda wote ila hawa wezi iwa CCM wamegeuza state house gereza, hata ujiko wa kumpa mtu uhuru yeye bwana ni katiba ya nchi ndio inatoa uhuru huoni ameanza kuuwa watu huyo amefikia mahala mpaka napandisa wanauzi miaka saba kumi kumi na mbili kwenye makarandika hana la kukumbukwa zaidi ya kuzikwa kwenye kaburi la futi elfu moja asije akarudi tena nchi hii
 
Hata hivyo ikiwa ameshindwa kutatua kero za Arusha zaidi alichofanya ni kuwaagiza polisi kuua raia wa Arusha waliojaribu kudai haki zao tar. 05/01/2011, kutumia ubabe kumweka meya anamtaka yeye na chama chake na mbaya zaidi anahusika na hukumu iliyomvua ubunge aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini aliyekuwa chaguo la wananchi na alisimamia haki zao. Kwa haya aliyotufanyia watu wa Arusha hata tukimpokea ni unafiki tu, wala asiseme tunampenda.
 
Back
Top Bottom