mashakani
JF-Expert Member
- Aug 15, 2018
- 615
- 990
na wewe usikasirike kusikia dr. bashiru akiwaambia ukweli ccm kuwa imani ya kupiga kura kwa watanzania imeshukaUsikasirike kuona warombo wanakimbiza mwenge.
na wewe usikasirike kusikia dr. bashiru akiwaambia ukweli ccm kuwa imani ya kupiga kura kwa watanzania imeshukaUsikasirike kuona warombo wanakimbiza mwenge.
yes warombo wana akili ndiyo maana wanaunga mkono huo mwenge wakiwa ndani ya chadema.Hutaki warombo wajitambue. Mbona unakuwa mbishi? Rombo oyee!
Yaani ni kama huamini vile, lakini ndio hivyo sasa.yes warombo wana akili ndiyo maana wanaunga mkono huo mwenge wakiwa ndani ya chadema.
Roho imekuuma kuwaona kwenye mkesha wa mwenge??
Tuzungumzie huyo Bashiru kwenye mada yake. Hapa ni hao warombo. Mbona unajifanya huelewi?na wewe usikasirike kusikia dr. bashiru akiwaambia ukweli ccm kuwa imani ya kupiga kura kwa watanzania imeshuka
Yaani ni kama huamini vile, lakini ndio hivyo sasa.
Watu msiwe na mawazo tofauti...Hivi mmwenge una kitu gani cha maana hadi wanatu wanaulinda na binduki? au ni serikali wamekuwa ni waoga sana siku hizi kwa watu wanoawatawala? naona hata msafara wa jiwe binduki ni balaa
Mwenge ni biashara nzuri kwa wafanyabiashara sababu mwenge huwa Na watu wengi wanakula Na kulala Na kunywa .Ukitembelea eneo kama la Rombo ambako ndiko wafanyabiashara wengi Na wakubwa hutoka ukaona wanasusa mwenge wakati wana biashara za vyakula ,vinywaji ,malazi Na Mabasi Na bodaboda basi ujue Rombo imebadilika.Hao madiwani wanajielewa kuwa mwenge ukipita maeneo yao watapata nafasi hata ya kueleza kero kwa Raisi kupitia kiongozi wa mbio za mwenge bahati ambayo nadra kuipata kwa mtu level ya diwani.Na wanajua watu wao watafaidi wafanyabiashara wakiwemo wa vituo vya mafuta kwa kujaza mafuta ya mwenge Na magari , bodaboda nk ya misafara ya mwenge.Hivyo kuongeza Mzunguko wa pesa Rombo sababu mfano dereva bodaboda Na daladala atapata chake kituo cha mafuta atapata chake wauza vyakula Na vinywaji watapata vyao nk.Mbio za mwenge ni njia moja ya kuamsha uchumi Na Mzunguko wa pesa eneo unaopita.Madiwani Warombo Chadema Hongereni kwa kulijua hilo kuwa mwenge si mwenge tu kuna mamilioni ya pesa unamwaga ukipita mahaliyes warombo wana akili ndiyo maana wanaunga mkono huo mwenge wakiwa ndani ya chadema.
Roho imekuuma kuwaona kwenye mkesha wa mwenge??
Mwenge wa ccm au serikali !!??CHADEMA wamepoteana sana hadi huruma.
Mbona mwenge siuoni au macho yangu?
Wamegawanyika kiwiliwili fyeka, miguu fyeka, mikono fyeka, kichwa fyeeeeeeekelea mbali walahiCHADEMA wamepoteana sana hadi huruma.
tumzungumzie mbowe kwenye mada yake, hapa ni warombo. mbona wewe kichwamajiTuzungumzie huyo Bashiru kwenye mada yake. Hapa ni hao warombo. Mbona unajifanya huelewi?
Upuuzi mtupu.tumzungumzie mbowe kwenye mada yake, hapa ni warombo. mbona wewe kichwamaji
Natamani ningekuwa hiyo Pistol Holster hapo pajani! Kama mambo yenyewe yalikuwa hivyo...No wonder Makamanda walikimbiza Mwenge kwa heshima na taadhima.
Huyu ni msomi. Kazungumza iliyo kweliNaamini wanachadema wameshiriki shuhuli za mwenge ila siamini kama Dr.Bashiru kama atabaki salama kwa kuvujisha siri kuwa CCM mnashinda kwa wizi wa kura hadi raiya hawakanyagi tena kwenye vituo vya kupigia kura.
uharo mtupuUpuuzi mtupu.
Haikusaidii kitu. Rombo oyee.uharo mtupu
ndio maana mnalawiti watoto wa wenzenu kwenye mikesha yenu ya mwenge kama ndago ya kuwasaidia kuendelea kupumbaza wananchiHaikusaidii kitu. Rombo oyee.
Fyekelea mbali.ndio maana mnalawiti watoto wa wenzenu kwenye mikesha yenu ya mwenge kama ndago ya kuwasaidia kuendelea kupumbaza wananchi