Mibavicha yenyewe siku hizi inajificha kwa kuona haya. Makelele yao yanapungua siku hadi siku.Warombo wameanza kujitambua.
Dr. bashiru naye ameanza kujitambua, kichaa na genge laka fyekelea mbaliWarombo wameanza kujitambua. Mbowe na genge lake fyekelea mbali.
Hapa tunazungumzia warombo wanaojitambua. Sasa huyo Bashiru wako nenda kamzungumzie huko. Fyekelea mbali.Dr. bashiru naye ameanza kujitambua, kichaa na genge laka fyekelea mbali
Kama mnazungumzia warombo wanaojitambua, mbowe yeye alitoka wapi? au bashiru yeye hajitambuiHapa tunazungumzia warombo wanaojitambua. Sasa huyo Bashiru wako nenda kamzungumzie huko. Fyekelea mbali.
CCM ni kama maji ,utake usitake lazima utawanywa tuTarehe 30 Nilishangaa sana kuona madiwani wangu watatu wa chadema na katibu wetu wa Chadema wilaya wakiwa wameshona sare za mwenge na kukimbiza Mwenge wa Uhuru tangu kuupokea hadi Mwisho wa wilaya
Nisaidieni sie wakijijini,je sera yetu mpya imekubali kuunga Mkono na kushiriki Mbio za Mwenge wa UHURU? kwa sisi wanachadema?
Maana chama kama kimekufa hivi Rombo
Picha hii ni ya Diwani wa kata ya Makiidi na Mwenyekiti wa BAVICHA WILAYA YA ROMBO
akiufagilia kwa kuushika Mwenge wa Uhuru
Wadau sera mpya nazipata wapi naomba nitumiweView attachment 887840View attachment 887843



Yes kama Dr.Bashiru alivyojitambua juzi.Warombo wameanza kujitambua. Mbowe na genge lake fyekelea mbali.
Nimepata picha kamili leo ,ndio maana kelele nyingi kila Magu akiipana pliersWarombo siyo Wachaga kama ulikuwa haufahamu!
Aisee wewe mbona kichwa ngumu namna hii? Hapa ni hao warombo na mbio za mwenge ndio wanaozungumziwa. Mbowe fyekelea mbali.Kama mnazungumzia warombo wanaojitambua, mbowe yeye alitoka wapi? au bashiru yeye hajitambui
Bashiru na warombo wanaokimbiza mwenge wapi na wapi. Hapa tunajadili warombo wewe unaanza oh Bashiru sijui nini. Fyekelea mbali.Yes kama Dr.Bashiru alivyojitambua juzi.
Bashiru na warombo wanaokimbiza mwenge wapi na wapi. Hapa tunajadili warombo wewe unaanza oh Bashiru sijui nini. Fyekelea mbali.
Hutaki warombo wajitambue. Mbona unakuwa mbishi? Rombo oyee!Okey nimekuelewa CCM mnamfyekelea mbali Dr.Bashiru kwa kosa la kuitangazia dunia kuwa CCM mnaiba kura.
Mbowe na warombo wakimbiza mwenge wapi na wapi? fyekelea mbali kicha na washabiki wakeBashiru na warombo wanaokimbiza mwenge wapi na wapi. Hapa tunajadili warombo wewe unaanza oh Bashiru sijui nini. Fyekelea mbali.
Usikasirike kuona warombo wanakimbiza mwenge.Mbowe na warombo wakimbiza mwenge wapi na wapi? fyekelea mbali kicha na washabiki wake