Madiwani 10 wa CCM na UDP wajiunga na CHADEMA

Madiwani 10 wa CCM na UDP wajiunga na CHADEMA

SISI ILEMELA TUNASEMA
Msitu(CCM) ni ule ule aliyebadilishwa ni nyani tu.
Hata CHATO penyewe MAGUFULI alishindwa sembese kanda nzima ya Ziwa?

Tunawaomba mzidishe huo msimamo kwani vita ndio inaanza
 
Kanda ya ziwa ccm walifikiri wametoboa kumchagua magufuli, kumbe watu washusoma upepo siku nyingiiiiii ccm imechokwa sijui why hawataki kukubali huu ukweli.

Sikio la kufa halisikii dawa
 
Ahahahahaaa Mzee cheyo kwisha habari yake. Walimwambia waziwazi mwaka huu huchomoki,akasema eti kama hawamtaki yeye basi wachague ccm, wakmwambia huwezi kutuchagulia.

Natamani makamanda wa UKAWA waingie na kulitikisa jimbo la mzee wa vijisenti, anajisikia sana yule.
 
Mungu aendelee kujibu maombi ya wanyonge wa nchi hii. Waislamu mumuombe Allah, Wakristo wamuombe Jehova, na wasio na dini pia wageukie hata mawe na wachawi Lucifer ccm ianguke mwaka huu.

Na isambaratike kabisa
 
Hii haikubaliki jamani....
Sasa ccm inataka kufutwa tutakula wapi?
Kwi kwi kwi,the the the
 
hivi kweli hawa madiwani na wenzao wenye mlrngo wa dizain yao wana nia nzuri na watanzania na Tanzania kwa ujumla au wapo kimaslahi tu?

Ni wakati mzuri wa kumuuliza nape na kinana wale viongozi wa matawi walio wapokea kutoka upinzani na kuwafanyia sherehe je walikuwa na nia ya kuwaendeleza watanzania na taifa kwa ujumla wake?
 
hapa bariadi hao wote hawana mvuto na walijua wasingechaguliwa ndo maana wamekimbilia huko na CHADEMA kuwasimamisha kwenye udiwani ni sawa na hawajasimamisha watu.
 
[MENTION][/MENTION]
hivi kweli hawa madiwani na wenzao wenye mlrngo wa dizain yao wana nia nzuri na watanzania na Tanzania kwa ujumla au wapo kimaslahi tu?
Maslahi kwanza lazima ...hakuna mwanasiasa anayefanya siasa bila kuangalia maslahi yake kwanza.....hawa wameona kupita oktoba wakiwa huko ni ngumu ndo maana wamevuka boda....ucghaguzi serikali za mtaaa umewashtua
 
Nafikiri yule mzee hawezi kugombea tena, umri na kukubalika ni tatizo

wanasiasa huwa hawatabiriki pamoja na umri wake lakin bado ana nguvu...Mzee wa Kiraracha umri umeenda na afya sio nzuri lakin bado anakomaa
 
Kwa yaliyotokea uchaguzi wa serikali za mitaa madiwani kibao hawana jinsi,unakuta kata ina vitongoji 7 halafu 6 wamenasa Chadema.ivi hapo diwani CCM utapitia wapi
unanyosha mikono juu....unajisalimisha
 
Welevu na wanaojitambua wanahamia Chadema

Copy to Simiyu yetu Karibu tupande mabadiliko kuanzia Nyakabindi hadi Mwamapalala
 
o wote wanaohamia chadema wanakikubali hiko chama wengine wanaangalia upepo wakati matendo yao ndio yalifanya wananchi waichukie ccm nitawakubali tu kama wakija na kuwa wanachama w kawaida kwani chadema kuna watu wamefanyakazi kubwa mpaka kuifikisha hapo ilipo
 
Back
Top Bottom