UDP kuna upinzani sana nasikiaWanakimbia ushindani kule cdm watapata namba kirahisi
SAA ya ukombozi ni sasa na wakati wa kuokoka ni sasa!!!
Mungu yu upande wetu Tanzania inakombolewa octobet!!!
Good movement,CDM tamu kote kote
Ahahahahaaa Mzee cheyo kwisha habari yake. Walimwambia waziwazi mwaka huu huchomoki,akasema eti kama hawamtaki yeye basi wachague ccm, wakmwambia huwezi kutuchagulia.
Vemaa saana.. makamanda nguvu izidi kutawala uko chini pia .. hasha maeneo ya vijujini ukoo...
Mnaongeza tu Wasaliti. Tusilaumiane tu huko mbele.
Hahahaaa eti kanda ya ziwa yote wanamkubali Magufuli!
Walahi magufuguli ndoa atakuwa mgombea urais wa kwanza wa CCM kushindwa. aibu ya miaka 55 ya uhuru.
Aikimbie aibu hii ajitoe mwenyewe badala ya kutolewa na wapiga kura.
wamepima matokeo ya serikali za mtaaa wakaona uhakika wa kutoboa oktoba hamna ....salama ni kujisalimisha...Mzee Cheyo ana kazi nzito sana
mambo yameanza kunoga! cuf mupo?