Kwa yaliyotokea uchaguzi wa serikali za mitaa madiwani kibao hawana jinsi,unakuta kata ina vitongoji 7 halafu 6 wamenasa Chadema.ivi hapo diwani CCM utapitia wapi
Mungu aendelee kujibu maombi ya wanyonge wa nchi hii. Waislamu mumuombe Allah, Wakristo wamuombe Jehova, na wasio na dini pia wageukie hata mawe na wachawi Lucifer ccm ianguke mwaka huu.
Kanda ya ziwa ccm walifikiri wametoboa kumchagua magufuli, kumbe watu washusoma upepo siku nyingiiiiii ccm imechokwa sijui why hawataki kukubali huu ukweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.