Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

habari mkuu. kuna a wide range ya aluminium windows na pia a wide range ya wooden windows. inategemea saanna na quality na budget uliyonayo. mfano, dirisha la hardwood saafi, kama mkongo with a quality finish, ni bei ghali kidogo ukilinganisha na dirisha la mbao nyingne kama mpodo ambazo watu wengi tuu hutumia huku uswazi. madirisha ya aluminium navyo hivyo hivyo,kuna quality tofauti kulingana na budget ya mnunuzi.. watu wengi sasa hivi wamekimbilia kwenye aluminium sliding windows za kawaida, of which bei zake ni quite reasonable na ni mazuri. shida yake moja ni kwamba u get 50% ventilation, tofauti na casement ya mbao ambayo linafunguka loote, na unapata 100% ventilation.. there are alot of issues kabla ya kuweka madirisha that one needs to know. karibu kwa ushauri zaidi at 0717321336 au 0785131616.

apo kwenye red nilishtuka kidogo
nilijua wife ase...nilitaka nseme shkamoo wachagga kwa usir wa biashara
 
Kiukweli itategemea na uwezo wako na unaishi wapi ila mbao ndio the best
 
Mimi naona alluminium ina shida katika joint zake ni weak lakini pia sio tight na wadudu wanapita.
 
Mbao is the best to go for japo bajeti yake ni kubwa sana. Kumekuwa na kasumba ya slide window kwa sasa, hata mtu akitaka kupanga nyumba atauliza kuna slide windows? alminium ni nzuri zaidi kwa usalama kwa wale wakata nyavu uswazi, japo inaendana zaidi na utamaduni wa AC kwa sababu ya nature yake ya poor ventilation ikiwa imefungwa
 
mnapoweka madirisha muwe mnaconsider pia,endapo janga la moto linatokea huko sittingroom mtatokea wapi?maana madilisha ni full nondo
 
mnapoweka madirisha muwe mnaconsider pia,endapo janga la moto linatokea huko sittingroom mtatokea wapi?maana madilisha ni full nondo

Point noted.. Nyumba zetu nyingi hazina emergency exits.. Ni hatari sana..
 
Back
Top Bottom