Mkuu angalia vizuri, hii lugha imekuja kwa MELI!
Twendeni na fasheni bana alminium mpango wote!
Inategemea unaishi wapi,ni risk kama unaishi sehemu ambako kuna matukio mengi ya wizi,other wise lazma uingiliwe cost nyingine ya kuweka grill, ambapo adirisha ya mbao yatasave cost.Hii itategemea umejipangaje. But kama economically uko fresh tumia aluminium.
Twendeni na fasheni bana alminium mpango wote!
mbao...
Kwangu mimi madirisha ya mbao ndio the best..
Basi Kama ni hivyo ya aluminum utapata ventilation 25% na mbao ndio 50%. Kwa wanaoishi Dar kazi kwenu na joto hilo. Ila kiukweli madirisha ya aluminum yanafaa wenye uwezo wa kuweka air condition nyumba nzimaHakuna ventilation ya 100%, kwa sababu waya wa mbu nao unazuia upepo by some percentage!
Madirisha ya mbao ni mazuri hasa kwa maeneo yenye joto lakini ni ghali kutengeneza. Ughali wa madirisha yambao unatokana na bei kubwa za mbao pamoja na vifaa vingine vya kukamilisha dirisha pamoja na labour charge. Muda ambao fundi anatumia kutengeneza dirisha moja la mbao fundi wa alluminum atakuwa ameshatengenzea madirisha ya kama nyumba mbili hivi ya alluminium.
kwa dar aluminium ni cheap kwa saiz ili ile ya dirisha la mbao tatizo challenge ya aluminium ni security inabidi uwe na grill ya uhakika kwa nyumba ya chini au basement