Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

mamsindo

Member
Joined
Jan 8, 2010
Posts
36
Reaction score
28
Wana JF naombeni ushauri wenu. Je, mbali na kupendeza madirisha yapi ni bora kati ya yaliyotengenezwa kwa aluminium au mbao?Je,kwa wale wenye uzoefu,bei zake zikoje kwa aina zote (aluminium na mbao) kwa standard ya dirisha la kawaida?
Nategemea kupata majibu ya kunisadia.

:smiling: :smiling: :smiling: :smiling:
 
habari mkuu. kuna a wide range ya aluminium windows na pia a wide range ya wooden windows. inategemea saanna na quality na budget uliyonayo. mfano, dirisha la hardwood saafi, kama mkongo with a quality finish, ni bei ghali kidogo ukilinganisha na dirisha la mbao nyingne kama mpodo ambazo watu wengi tuu hutumia huku uswazi. madirisha ya aluminium navyo hivyo hivyo,kuna quality tofauti kulingana na budget ya mnunuzi.. watu wengi sasa hivi wamekimbilia kwenye aluminium sliding windows za kawaida, of which bei zake ni quite reasonable na ni mazuri. shida yake moja ni kwamba u get 50% ventilation, tofauti na casement ya mbao ambayo linafunguka loote, na unapata 100% ventilation.. there are alot of issues kabla ya kuweka madirisha that one needs to know. karibu kwa ushauri zaidi at 0717321336 au 0785131616.
 
Hakuna ventilation ya 100%, kwa sababu waya wa mbu nao unazuia upepo by some percentage!
 
Mi kwangu challenge in kupauka kwa Mbao ambayo inahitaji repeal baada ya muda tofauti na aluminium
 
Mbao kwa Tanzania tuna changamoto moja, FINISHING! Hatuna viwanda vilivyobobea kwenye mambo haya, otherwise hardwood ndiyo material ya daraja la juu kabisa katika ujenzi, hata hao watengeneza Aluminum na UPVC wakati mwingine wanatengeneza finnishing yenye kufanana na mbao.
 
anae hitaji frem za milango na madirisha kwa mbao za Mukurungu au Mbanga. mi nipo Biharamlo Kagera
 
habari mkuu. kuna a wide range ya aluminium windows na pia a wide range ya wooden windows. inategemea saanna na quality na budget uliyonayo. mfano, dirisha la hardwood saafi, kama mkongo with a quality finish, ni bei ghali kidogo ukilinganisha na dirisha la mbao nyingne kama mpodo ambazo watu wengi tuu hutumia huku uswazi. madirisha ya aluminium navyo hivyo hivyo,kuna quality tofauti kulingana na budget ya mnunuzi.. watu wengi sasa hivi wamekimbilia kwenye aluminium sliding windows za kawaida, of which bei zake ni quite reasonable na ni mazuri. shida yake moja ni kwamba u get 50% ventilation, tofauti na casement ya mbao ambayo linafunguka loote, na unapata 100% ventilation.. there are alot of issues kabla ya kuweka madirisha that one needs to know. karibu kwa ushauri zaidi at 0717321336 au 0785131616.

Vilevile yategemeana na mji mhusika alipo, bei ya mninga Tabora ni tofauti na Dsm, kwa alminium pia bei y alminium Dsm ni tofauti na Tabora au Mwanz na kwingineko, mwuliz swali angetaja na mji alipo ufafanuzi ungenoga zaidi
 
kwa dar aluminium ni cheap kwa saiz ili ile ya dirisha la mbao tatizo challenge ya aluminium ni security inabidi uwe na grill ya uhakika kwa nyumba ya chini au basement
 
Inategemea unaishi wapi,ni risk kama unaishi sehemu ambako kuna matukio mengi ya wizi,other wise lazma uingiliwe cost nyingine ya kuweka grill, ambapo adirisha ya mbao yatasave cost.Hii itategemea umejipangaje. But kama economically uko fresh tumia aluminium.
 
Weeeeeee!!! Madirisha ya mbao kama ni kuweka wavu na kioo noma asikudanganya, aluminium ni cheaper mara tatu au nne. What out!QUOTE=YUJAMWA;8348085]Inategemea unaishi wapi,ni risk kama unaishi sehemu ambako kuna matukio mengi ya wizi,other wise lazma uingiliwe cost nyingine ya kuweka grill, ambapo adirisha ya mbao yatasave cost.Hii itategemea umejipangaje. But kama economically uko fresh tumia aluminium.[/QUOTE]
 
Ukiishi nyumba ya kioo usinrushie mawe! Uswahili hayo madirisha ni mtihani labda upige Fence!! Kama una enedo kubwa na umelipiga fence aluminum mpango mzima.
 
Hakuna ventilation ya 100%, kwa sababu waya wa mbu nao unazuia upepo by some percentage!
Kama unaplan kuweka aluminum basi jaribu kudesign madirisha yenye size kubwa ili ili ile 50% iwe reasonable pia. Mfano unakuta dirisha la kawaida ni 4x5, ukiliwekea aluminum likawa 6.5x7 inakuwa poa bado.

Back
Top Bottom