Mi kwangu challenge in kupauka kwa Mbao ambayo inahitaji repeal baada ya muda tofauti na aluminium
Mbao kwa Tanzania tuna changamoto moja, FINISHING! Hatuna viwanda vilivyobobea kwenye mambo haya, otherwise hardwood ndiyo material ya daraja la juu kabisa katika ujenzi, hata hao watengeneza Aluminum na UPVC wakati mwingine wanatengeneza finnishing yenye kufanana na mbao.
Kwa taarifa yako dirisha moja la mbao ni.madirisha matatu ya Allumimium...

Pia kuna madirisha mazuri sana yanatumiwa zaidi kule Kilimnjaro na Arusha, niliongea na fundi mmoja aliniambia wanatumia Z-angle, sijui jina la kitalaam yanaitwaje.
uzi mzuri. ni wapi wanatengeneza madirisha ya mbao mazuri kwa dar?
Hahaha ulimi hauna ufupa