Jackson nyamhanga sambai
Senior Member
- Apr 25, 2018
- 101
- 48
NinayoNamba yangu 0787701403
Mie ninayo hayo madini namba zangu za WhatsApp ni 0787701403Madini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer yuko hapa dar,kama kuna mtu Ana mzigo ani pm na tuwasiliane tuyajenge ili tufanye biashara.....
Mm mwenyewe nnayo tena ya kutoka kongoMbona hujaweka mawasiliano Mie ninayo hayo madini namba zangu za WhatsApp ni 0787701403
Nmeona amethyst zako kwenye uzi wakoMbona hujaweka mawasiliano Mie ninayo hayo madini namba zangu za WhatsApp ni 0787701403
Double rojaNmeona amethyst zako kwenye uzi wako
Ila quality ni ya chini....sana hayo huwezi uza
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Du hayo mawe kuna jamaa aliniletea nikazunguka nayo wee mjini hapo Kila chocho nakutana na wachina.Na nimeshapoteza contact zao kweli siku ya kufa nyani.
Mkuu kuna jamaa nimempeleka site nitakucheki.Biashara hii anakwenda na mabadiliko ya masoko ya wanunuzi....nje nko?
Tanzania kuna azonite lkn mpaka kesho azonite inayonunuliwa na kutakiwa ni ya msumbiji....?
Huo ni mfano tu nakupa....
PM tafadhaliMadini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer yuko hapa dar,kama kuna mtu Ana mzigo ani pm na tuwasiliane tuyajenge ili tufanye biashara.....
Madini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer yuko hapa dar,kama kuna mtu Ana mzigo ani pm na tuwasiliane tuyajenge ili tufanye biashara.....
Wakuu haya madiniUnaenda kutapeliwa siyo muda mrefu.au wewe mwenyewe ndiyo unataka kutapeli mtu.siku hizi kuna masoko ya madini.acheni tabia ya kununua madini mtaani.