Madini haya yanatakiwa

Madini haya yanatakiwa

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,114
Reaction score
137,408
Madini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer yuko hapa dar,kama kuna mtu Ana mzigo ani pm na tuwasiliane tuyajenge ili tufanye biashara.....
 
Weka hata picha tuyaone!
Natumaini Mungu atakujaria wateja pia!Mkuu,ayo madini kazi yake kubwa ni nini?
 
1459131556857.jpg
1459131561578.jpg
1459131571758.jpg
1459131582207.jpg
 
Madini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer yuko hapa dar,kama kuna mtu Ana mzigo ani pm na tuwasiliane tuyajenge ili tufanye biashara.....
mrangi ni ngumu sana kupata 'amasist' na pia uwe makini na wapigaji. .huu ukanda wote wa Handeni Kilindi Morogoro Dodoma Tanga mpaka Arusha yanapatikana lakini si kwa volume kubwa
Wengi huko nilikotaja wana samples lakini hawana mzigo
 
Kazi yake ni nini!?
Wengi huko Asia wanayatumia kama sehemu ya urembo lakini pia kwa wachina ni madini yenye imani za kishirikina kwamba ukiwa nalo nyumbani utafanikiwa kwenye mengi na hutapata mabalaa ya kila wakati
8aeb47d473f8e95a389000581a4abe1d.jpg
8935089d74f53629192501b32bc13512.jpg
8cea921aaa64caa351925d75d886e14d.jpg
 
mrangi ni ngumu sana kupata 'amasist' na pia uwe makini na wapigaji. .huu ukanda wote wa Handeni Kilindi Morogoro Dodoma Tanga mpaka Arusha yanapatikana lakini si kwa volume kubwa
Wengi huko nilikotaja wana samples lakini hawana mzigo
Hahaha juzi nmeuza kg 20,mtu kunipiga Mimi afanye kazi ya ziada hahaha....
Kila mzgo inapatikana kwa wingi kongo na type hayo inatakiwa .....buyer baada ya wiki mbili atasafiiri kwenda Jaipur
 
Ni kweli mkuu kwa ukanda wa kilindi amelthyst ipo kwa wingi sema wachimbaji ni wachache sana. Nishawahi kuyafuata hadi sehemu moja wanapaita kwalugulu kwa teacher mmoja maarufu sana wa germstones wanamuita Mwl Fadhili akaishia kunipa sample tu!

Ila kwa sahz jua kali sana kule so ukimfuata anaweza akapata nyoka wengi wa kugonga show na mzigo ukapatikana kwa wingi kiasi chake.
Mkuu mrangi nicheki mida ntafuatilia namba ya mwl fazo nikutumie ubonge naye he might be helpful to you!!
 
Wachimbaji ni wachache kwa maana ya kuwa order ya amethyst hutokeaga Mara chache Sana...
Mkuu...na buyers wengine wa mawe hata huwa ni mizunguo Sana....ila wa kwangu ni mtakaji Sana
Anayataka kwa UDI na uvumba
 
Madini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer yuko hapa dar,kama kuna mtu Ana mzigo ani pm na tuwasiliane tuyajenge ili tufanye biashara.....
Usiseme Amethyst ya Congo we sema tu Amethyst hafu bei yake mbona ipo chini sana
 
Hahaha juzi nmeuza kg 20,mtu kunipiga Mimi afanye kazi ya ziada hahaha....
Kila mzgo inapatikana kwa wingi kongo na type hayo inatakiwa .....buyer baada ya wiki mbili atasafiiri kwenda Jaipur
Huyo buyer wako ana dealers licence? Usije mkakamatwa maana zile enzi za kuchepuka zimepita kijana
 
Mkuu mm najua kazi yangu hii huwa sibahatishi,
Kazi hatufanyi kiholela....hayo bei nliyokupa ndy bei yke amethyst hizo ziwe caboshon,hata ziwe na cracks poa tu....kikubwa ziwe crystal na tangu iwepo ....mipasuko,sukari ndani ya Jiwe isikupe shida
 
Usiseme Amethyst ya Congo we sema tu Amethyst hafu bei yake mbona ipo chini sana
Ya Congo ndy inatakiwa....nafahamu amethyst nyingi tu za tz....na zinapotoka,kila za Congo ndy inatakiwa
 
Wachimbaji ni wachache kwa maana ya kuwa order ya amethyst hutokeaga Mara chache Sana...
Mkuu...na buyers wengine wa mawe hata huwa ni mizunguo Sana....ila wa kwangu ni mtakaji Sana
Anayataka kwa UDI na uvumba
Huyu mteja wako inataka pure au hata yaliyo rough make yule ticha huwa anaya grade katika sampuli mbili tofauti na madini anayajua vya kutosha kadeal nayo zaidi ya miongo mitatu. Bei na soko analijua vizuri.
Yale yasokuwa na ufa anauza kwa gram na haya machafu ndo hubana kwa kilo ila sio kwa quotation hiyo ya 20k/25k ipo chini sana!
 
Kwani ya Congo inautofauti gani?
Biashara hii anakwenda na mabadiliko ya masoko ya wanunuzi....nje nko?
Tanzania kuna azonite lkn mpaka kesho azonite inayonunuliwa na kutakiwa ni ya msumbiji....?
Huo ni mfano tu nakupa....
 
Back
Top Bottom