Picha lina anaanza.
Wenzetu weupe wanaingia Barani Afrika, nchini NIGERIA katika jimbo liitwalo BORNO (Borno State) na kugundua madini aina ya Calfornium.
Kisha wanaamua kununua eneo kubwa sana huku wakifungua huduma za kijamii kama mashule na mahospital. Then wanaanza kutoa huduma bure kwà watoto wanaoanza shule na kwà wazee matibabu yanakua ni bure kabisa.
Kwenye upande wa mawasiliano:- jamaa wakawa hawatumii simu zenye chip , bali wakawa wanatumia simu ambazo zipo connected directly kwenye satellite + radio calls. Walipendelea sana kufanya kazi zao usiku huku mchana wakiwa busy kutoa huduma za kijamii.
Mara ghafla , wakastukiwa na baadhi ya watu weusi magenius..waafrika wenzetu...wakaamua kuwatuliza kwà kuwapa pesa ndefu + kuwapa exposure ya kwenda USA.
Jamaa wanarudi na kuleakisha details....then mambo yanakua moto
Watu weupe wanaamua kutengeneza kundi liitwalo BHOKO HARAM...na kulifadhili kwà kulipa fedha + weapons etc.
ITAENDELEA!
View attachment 2651116
mkuu acha masihara mimi nina mawe kama hayo nimeweka tu nyumbani huko napenda kuyashangaa nikiwa huko, nipe ramani ya soko basi nivute rolls royce kama ya mtoto kutoka tandale sheikh mansour!
Watz kwa uongo mmezidi sasa. Kwanza Californium does not occur naturally. Maana yake ni man made. Kwa Kiswahili tunasema hayapatikani ardhini bali yanazalishwa maabara kupitia process inayoitwa paricle bombardement of Plutonium! Hiyo process ni aghali sana na inahitaji utaalam wa juu sana kwa sababu kwanza hayo madini yana mionzi ( radioactive) na yanaweza kusababisha madhara makubwa sana kwa binaadam kiafya( ni madini ya nyuklia).
So far ni sehemu mbili tu duniani zinazalisha Californium ambazo ni Oak Ridge National Laboratory Marekani na Research Institute of Atomic Reactors, Dimitrovgrad huko Urusi. Kwa mwaka ni nusu gram tu ya Californium huzalishwa dunia nzima hivyo kufanya kuwa na scramble ya kuyapata kutokana na kuwa adimu kupita kiasi.
Hivyo basi huu upotoshaji wako wa kusema yanapatikana Nigeria ni uzushi na uzandiki wenye mlengo wa ukurupukaji na upotoshaji.
sijui ni madini gani ila muonekano ni huo kwenye picha ya mleta madaYou can't be serious [emoji23]
Ila tuamini chako?Akili za google changanya na za kwako. Usiamini KILA kitu unachokiona Google.
Note: Google ni ya mtu au watu weupe. Usidhani kama unaweza kupata ukweli kamili kupitia hiyo source. Kuna mambo Yako wazi humo na mengine yamepotoshwa ili yasifuatiliwe na watu. Hasa yahusuyo utajiri wa Afrika
sijui ni madini gani ila muonekano ni huo kwenye picha ya mleta mada
Kwa gharama kama hizo, sio tofauti sana na zile hoja za kupeleka makanika Ulaya au kwingineko for processing! Kwamba hatuna uwezo na mtaji wa kufanya hivyo....na isitoshe, kuwa hatuna miundombinu na karakana za kufanya extraction(in case ya dhahabu) similary na extraction ya hiyo canini sijui.hapo naona cost of producing ndio hiyo 27m/g pengine hiyo inahusu gharama zote na processing[emoji848]
Californium haichimbwi bali inatengenezwa hukohuko majuu!Picha lina anaanza.
Wenzetu weupe wanaingia Barani Afrika, nchini NIGERIA katika jimbo liitwalo BORNO (Borno State) na kugundua madini aina ya Calfornium.
Kisha wanaamua kununua eneo kubwa sana huku wakifungua huduma za kijamii kama mashule na mahospital. Then wanaanza kutoa huduma bure kwà watoto wanaoanza shule na kwà wazee matibabu yanakua ni bure kabisa.
Kwenye upande wa mawasiliano:- jamaa wakawa hawatumii simu zenye chip , bali wakawa wanatumia simu ambazo zipo connected directly kwenye satellite + radio calls. Walipendelea sana kufanya kazi zao usiku huku mchana wakiwa busy kutoa huduma za kijamii.
Mara ghafla , wakastukiwa na baadhi ya watu weusi magenius..waafrika wenzetu...wakaamua kuwatuliza kwà kuwapa pesa ndefu + kuwapa exposure ya kwenda USA.
Jamaa wanarudi na kuleakisha details....then mambo yanakua moto
Watu weupe wanaamua kutengeneza kundi liitwalo BHOKO HARAM...na kulifadhili kwà kulipa fedha + weapons etc.
ITAENDELEA!
View attachment 2651116
hahaha boss ya bandari tutayaweza kweli? hawa wakubwa wakiamua lao tunachoweza kuambulia ni kujifurahisha tu humu sebleni kwa Melo mwisho ni kuimba mapambio tu.Kwa gharama kama hizo, sio tofauti sana na zile hoja za kupeleka makanika Ulaya au kwingineko for processing! Kwamba hatuna uwezo na mtaji wa kufanya hivyo....na isitoshe, kuwa hatuna miundombinu na karakana za kufanya extraction(in case ya dhahabu) similary na extraction ya hiyo canini sijui.
Hatahivyo, ina maana madini hayo yanapatikana kwa wingi......najiuliza tu hata kama gramu moja ina kosti hayo mamilioni......je, ni shilingi ngapi kuuzwa? au hiyo gramu moja inaweza kuleta faida ya Kiasi gani....hata kama inachukua muda?
Anyways......Bandari yetu ndio madini yetu kwa sasa, niwaachie wanaijeria wapambane, kwa sasa.
Sawa NduguCalifornium haichimbwi bali inatengenezwa hukohuko majuu!
ACHA KUTUDANGANYA MCHANA KWEUPE!
Ha ha. Unafikiri isengekuwa kelele hizi kama unavydhania ni "za chura" tungesikia teuzi?hahaha boss ya bandari tutayaweza kweli? hawa wakubwa wakiamua lao tunachoweza kuambulia ni kujifurahisha tu humu sebleni kwa Melo mwisho ni kuimba mapambio tu.
#myTanzania[emoji848]
Ni sawa, kila kwenye Mwamba mpiganaji lazima pia ulaji uwepo.Hayati Magufuli alikua mkali sana mpaka akaamua kuzuia yale makontena ya michanga....Unajua kwanini?
Cause that man's brain was extraordinary!