Madikteta wote duniani hufanana

Madikteta wote duniani hufanana

Eh! Mungu we! Mnafiki mwingine huyu! Akionyeshwa hili bandiko lake leo hii anaweza kabisa kulikana na kudai eti ulikuwa utoto au waliiba pw yake!

Sifa yao ingine ni kwamba huhakikisha watu wote wenye uwezo hawapati nafasi katika fursa za uongozi wowote wala kupata kazi ya maana. Wakishindwa kabisa kuwakwamisha, huwafunga na/au kuwaua!
 
IMG_4488.jpg
 
Sifa yao ingine ni kwamba huhakikisha watu wote wenye uwezo hawapati nafasi katika fursa za uongozi wowote wala kupata kazi ya maana. Wakishindwa kabisa kuwakwamisha, huwafunga na/au kuwaua!
Pia hawapendi kokosolewa na mbaya zaidi kushauliwa ndoo usiseme, na ikitokea tu huuawa Mara moja,

Kauli za vitisho Kama mm huwa sijaribiwi nk
 
Inaonekana watu hawashindwi kuwatambua madikteta; Kitila umesema point moja muhimu sana. Madikteta wanahofia sana intellectuals vile vile. Lakini upande mwingine kundi la wasomi hujitengeneza kama watetezi wa madikteta hao.
Ni kweli kuna watu wamejitengeneza kuwa watetezi wa dikteta uchwara John Pombe Magufuli.
Sifa yao ingine ni kwamba huhakikisha watu wote wenye uwezo hawapati nafasi katika fursa za uongozi wowote wala kupata kazi ya maana. Wakishindwa kabisa kuwakwamisha, huwafunga na/au kuwaua!
Huwezi kuamini huyu ni Kitila Mkumbo ambaye hivi leo anatumia uwezo wake wote aliopewa na Mungu kumtumikia dikteta uchwara John Pombe Magufuli anayefunga na/au kuwaua wanaomkosoa.
 
Sifa yao ingine ni kwamba huhakikisha watu wote wenye uwezo hawapati nafasi katika fursa za uongozi wowote wala kupata kazi ya maana. Wakishindwa kabisa kuwakwamisha, huwafunga na/au kuwaua!
Uliona mbali mzee baba.je mfano wakipa nafasi uwasaidie katika udicteta wao utawasaidia?
 
Sifa yao ingine ni kwamba huhakikisha watu wote wenye uwezo hawapati nafasi katika fursa za uongozi wowote wala kupata kazi ya maana. Wakishindwa kabisa kuwakwamisha, huwafunga na/au kuwaua!
Japo huwa unaingia humu kimya kimya ila hii post utaikana au kuifuta ukiiona tena.
Wanatumia sana Jeshi na Usalama wa Taifa wakijua ndo ngao yao ya kuendelea kuongoza, wakijisahau kwamba kumbe wanaouawa ni ndugu wa hao Usalama wa Taifa na Jeshi. Mwisho wa siku usalama wa taifa, jeshi ni sehemu ya nguvu ya UMMA...................
Haya yote yameshajidhihirisha
Inaonekana watu hawashindwi kuwatambua madikteta; Kitila umesema point moja muhimu sana. Madikteta wanahofia sana intellectuals vile vile. Lakini upande mwingine kundi la wasomi hujitengeneza kama watetezi wa madikteta hao.
 
Mzee Mwanakijiji,

Be honest to your fellow JF Members. Chambuzi zako before current leadership zilikuwa influenced na nini hasa?! Au shutuma za FaizaFoxy kwamba ukosoaji wako wa mara kwa mara kwa serikali ya JK ulisukumwa na chuki zako za kidini!!!

Look, threads zako za nyuma zinavyokuacha uchi wa mnyama tena ukiwa umejianika mbele ya halaiki mchana kweupe!!! Yaani ni kiroja cha mwaka kuona thread kama hii kwako ilistahili sana kutolewa wakati wa utawala wa JK lakini hivi sasa; HAPANA!!

Kwa aibu, hii post hapa chini umei-delete ambayo ulikuwa unamlinganisha JK na hizo sifa ulizotaja hapo juu lakini eti sio John Pombe Magufuli!!!!!
JK.png

Ni kigezo kipi miongoni mwa hivyo ulivyotaja ambavyo Rais Magufuli hana?! Magufuli yule ambae bila aibu mara kwa mara umekuwa ukija hapa kumtetea! Kila udhalimu ukifanyika lazima uje hapa ku-justify udhalimu wa utawala wake kwa kutumia maneno kama "...jambo kama hili si mara ya kwanza kutokea!" Maneno kama "....hata huko nyuma, so and so....!" Ben Saanane hafahamiki alipo and presumably dead!!! Tundu Lissu ameponea kwenye tundu la sindano na si ajabu akarudi akiwa kwenye wheelchair!!!

Lakini bila aibu kuna siku ulikuja ku-justify udhalimu huo kwa hoja kwamba "...hii si mara ya kwanza kutokea jambo kama hili!"

Narudia, uchambuzi wako miaka ya nyuma ulikuwa upo influenced na nini hasa?! Ni kweli ulikuwa unasukumwa na itikadi za kisiasa au ndo kama ambavyo FaizaFoxy alivyokuwa anasema??!!

Juzi ulilia lia kwamba eti natumia lugha kali! Kwa kawaida, ulimi ukiniteleza baadae huwa najutia kauli zangu lakini kwa kukutolea kauli kali juzi katu sijawahi kujutia kwa sababu, you deserved something more harsh kuliko lugha kali!!!

Kama nilivyosema juzi, narudia tena hapa kwamba watu kama nyinyi ni watu hatari kwa ustawi wa jamii!! Ni watu ambao hamna tofauti yoyote na righthand men wa madikteta wote duniani!!! Ni watu mlioapa kutetea udhalimu bila aibu!!!

Maandishi yanaishi! In the next 15 years, yule mtoto wako ambae ulitutangazia hapa JF kwamba amezaliwa na kisha ukampatia jina la Kinyakyusa, wakati huo atakuwa old enough kusoma maandiko ya babake!!! Maandiko yaliyojaa unafiki toka kwa mtu mwenye ndimi mbili!

Very sorry to that kid manake ataanza kuwa na ufahamu wakati babake akikazana kutetea uovu unaofanyika serikalini!!!

It's a matter of time ipo siku utakuja hapa na hoja zinazofanana na akina Mkamia cuz' that's what you're good at!!!
 
Back
Top Bottom