Yummie
JF-Expert Member
- Sep 12, 2015
- 1,362
- 1,082
Ulikuwa hulijui hilo?
Walaaa
Ulikuwa hulijui hilo?
Walaaa
Ninong'oneze...!!!
hiyo ya kuzaa kwa uchungu imepitwa na wakati,unadhani wakina kim kardashian au beyonce wanapush,wale kuna sindano wanachomwa pruuu mtoto huyu hapa,hakuna cha uchungu wala babake uchunguHili jambo ni kongwe mno na linaazia pale kwenye bustani ya Eden ibilisi kupitia nyoka alipomhadaa mwanamke na hatimaye kufanya kinyume na maagizo ya Mungu.Ni tangu pale ndio Madhila ya mwanamke yalianza, kwanza aliambiwa atazaa kwa uchungu hii ni laana ambayo haijawahi kutenguliwa popote. Kisha kwenye Maandiko ya Biblia takatifu kitabu cha methali kuna mstari usemao.
Mwana mpumbavu ni mzigo wa *****. Haishii hapo tu, bali hata katika mahusiano... Ni jambo lisilo la kawaida kukuta mwanamke mmoja kaolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja. Mpaka leo hii kuna jamii za imani fulani zenye misimamo mikali kuhusu wanawake, akikutwa na mimba nje ya ndoa hata kama kabakwa au wakikutwa wawili wanafanya ngono kesi yote humuangukia mwanamke na adhabu yake ni kupigwa mawe mpaka kufa, haya yapo na yanatokea. Tumeshuhudia hata katika maisha haya kuanzia majumbani mwetu, ndugu wa kike tunaishi nao, wafanyakazi wa ndani, mashuleni na hata vyuoni maofisini na hata kupata cheo nk.
Tumeshawahi kusikia degree za chupi, tumeona kwa uwazi kabisa mfumo kandamizi mashuleni, binti anapata mimba bila kutafakari anafukuzwa shule na kupewa majina yote mabaya, huku mtenda akisepa au akipeta mitaani, wengi wameombwa rushwa ya ngono ili wapate upendeleo fulani huko makazini nk. Wengi wamekuwa watumwa wa ngono ili waweze kuishi.
Kwenye mahusiano vipigo na manyanyaso mengine ni vitu vinavyoonekana ni vya kawaida kabisa lakini pamoja na hayo yoote bado wameendelea kutupenda kutujali na kutuhudumia bila vinyongo huku wakiwa ni wepesi wa kusamehe na kuonyesha upendo mkuu namchukulia mwanamke Kama alama ya uwepo wa dunia yenye matumaini furaha na tumaini.Bila wanawake sijui dunia ingekuwaje Mungu aliona mbali sana.
hiyo ya kuzaa kwa uchungu imepitwa na wakati,unadhani wakina kim kardashian au beyonce wanapush,wale kuna sindano wanachomwa pruuu mtoto huyu hapa,hakuna cha uchungu wala babake uchungu
Wanawake wanavumilia mengi sana aisee.
Mungu awabariki wanawake wote wanaojitambua na kujielewa.
Labda sio mke wangu, mke wangu namchukulia kama alama ya laana na machukizo mbele za Mungu. Amen.
Ntajua tuuu....!!!!
'Valentina' ndio zinabeba mengiNapata uzito kukuelewa ulichomaanisha
sio wote wengine ni balaaaa wanawake hawafai kabisaaa walio wengi
kwenye hilo la mwanamke kupigwa mawe akizini mbona liko wazi sana mkuu?
ni kwamba hilo ni suala la kiushahidi tu. kwa mfano mwanamke ana mimba wakati hana mume jibu lake ni rahisi tu alizini. sasa unataka wakamtafute mtu ambaye ushahidi haupo kuwa ndiye aliyempa mimba?
pili ili mwanamke azini ni lazima atongozwe na akubali kwa maana hiyo bila ridhaa yake zinaa haipo hivyo likitokea suala la kuzini yeye ndiye mwamuzi wa mchezo kwa sababu kama kakataa zinaa haiwezi kutokea.
kwa mfano hata house girl ndani kwako akilala na mume wako kuna mawili ama alitongozwa akakubali au alimtega mume wako achape nzigoo. kwahiyo nani mhusika mkuu wa zinaa hiyo?
wengine mtasema vishawishi na nini lakini bado tatizo liko pale pale kwa sababu ili ushawishiwe lazima uwe unashawishika sasa kama haushawishiki hata hivyo vishawishi haviwezi kufua dafu kwa hiyo ukikubali kushawishika umekubali kuzini engineer wa zinaa hapo ni. nani?
kweli yapo mengine ambayo wanafanyiwa ni ya hovyo sana na mengi yamejificha kwenye kivuli cha dini.
Boss tunarudi palepale "Hofu ya Mungu". Hivi kama mtu una hofu ya Mungu utafanya makusudi kuzini eti kwa sababu tu hakuna kithibitisho kama umezini? Sisi hatujakuona ukizini na hatuna uthibitisho, lakini Mungu aonaye sirini anakuona
Yani sipati picha mume wangu anacheat afu namuuliza why anijibu " bila yule mwanamke kunikataa me nisingechepuka" eishhhh. Aliyemfata mwenzake na nani? Yani me nachoka jamani khaa ila Mungu yupo
ha ha ha tena wakiamua kuchafua ni wachafuz balaa
Na mwanaume Hana jinsi ya kuziepuka